Lodge zenye masharti kama haya zinapatikana wapi wakuu?

Kila Hotel zina masharti yao ila miji mingi duniani unaruhusiwa kuwa na mtu wa ziada, lakini lazima umsajili pia
Ni kwa sababu ya Usalama. Hata moto unaweza kutokea.

Kuna zingine wanaweza kukulipisha hela ya ziada kwa mgeni

Ila haya masharti mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…