Lodge zenye masharti kama haya zinapatikana wapi wakuu?

Nilishawahi kukutana nayo Manyoni miaka 15 iliyopita
 
mkuu hili bango mbona ni exactly copy and paste na bango lipo lodge moja ipo kilwa, yaani hadi hapo palipo chorwa chorwa na pen
 
Kuna moja pale Moro hawaruhusu kulala room moja watu jinsi moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…