Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Leo naomba niwaambie CCM kuwa kwa muda sasa, wamekuwa wakipata misukosuko inayotishia uhai wa CCM na CCM kuendelea kubaki madarakani huku wao wakiwa hawaelewi. Wasichokijua CCM nii kuwa, mitikisiko wanayoipitia, ni sawa na yale mapigo 10 alioyopitia Farao aliekuwa Mtawala wa Misri kabla ya pigo la 10 lililomaliza kiburi cha utawala wake na hatimae akawaruhusu wana wa Isreali kuondoka utumwani nchini Misri.
Binafsi naamini misukosuko kama ile iliyotokana na kundi la G-55(wakati wa mfumo wa chama kimoja), kashifa za CHAVDA, ESCROW, mtikisiko wa 2015 pale Lowassa na kundi walipojiondoa CCM na mengineo, ni matukio tu yaliyoitikisa CCM kiasi cha kutishia uhai wake na hata CCM kuendelea kubaki madarakani.
Naendelea kuamini mapigo haya bado yanaendelea kama ilivyokuwa kwa Farao, na liko pigo(Pigo la 10), littalokuja kuingusha CCM kutoka madarakani(hawataamini).
Je, ni hili la DP WORLD au bado kuna mengine, anaejua ni Mungu, sisi tuendelee kuomba uzima tu na tuache muda utongee.