Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
siku zote nimekuwa nadhani ina maanisha 'Mwanaume'
Tafsiri yako sio ya kila mtu.Tazama hapo chini kitu ambacho hawa watu wa kampuni ya dume condoms wameamua kuweka mbele ya kadamnasi ya watanzania.
Kwenye hiyo LOGO yao juu ya herufi M kuna kitu kirefu kimesimama kama nanihii inapenya ndani ya mmmmh.
Jamani kwa wale wanaojali maadili ya kitanzania, hii LOGO inahitaji kufanyiwa marekebisho kabla ya kuwekwa mbele ya kadamnasi ya umma wa watu, la sivyo ibaki huko huko kwenye pakiti za condoms zinazotumika privately.
I stand to be corrected.
View attachment 706444 View attachment 706445
kabisaaaYaani Kambaku au wasukuma husema Nzagamba
Yaani dume la ng'ombe
Huyo jamaa kushoto kama skompion wa buguruni vileTazama hapo chini kitu ambacho hawa watu wa kampuni ya dume condoms wameamua kuweka mbele ya kadamnasi ya watanzania.
Kwenye hiyo LOGO yao juu ya herufi M kuna kitu kirefu kimesimama kama nanihii inapenya ndani ya mmmmh.
Jamani kwa wale wanaojali maadili ya kitanzania, hii LOGO inahitaji kufanyiwa marekebisho kabla ya kuwekwa mbele ya kadamnasi ya umma wa watu, la sivyo ibaki huko huko kwenye pakiti za condoms zinazotumika privately.
I stand to be corrected.
View attachment 706444 View attachment 706445
ndiye yeye huyo ..Huyo jamaa kushoto kama skompion wa buguruni vile
Mpe habari Juliana Shonza mkuu!Tazama hapo chini kitu ambacho hawa watu wa kampuni ya dume condoms wameamua kuweka mbele ya kadamnasi ya watanzania.
Kwenye hiyo LOGO yao juu ya herufi M kuna kitu kirefu kimesimama kama nanihii inapenya ndani ya mmmmh.
Jamani kwa wale wanaojali maadili ya kitanzania, hii LOGO inahitaji kufanyiwa marekebisho kabla ya kuwekwa mbele ya kadamnasi ya umma wa watu, la sivyo ibaki huko huko kwenye pakiti za condoms zinazotumika privately.
I stand to be corrected.
View attachment 706444 View attachment 706445
Juu ya herufi M ni uume uleNaona pembe za Ng'ombe wa Rwanda,
kama biashara yako ni mahindi tunataraji tuone mhindi au mbegu zake kwenye logo