Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asee bila shaka utakuwa afisa masoko wa DumeTena tigo
Nieleze maadili ya kitanzania ndo yapi/ yakoje?Tazama hapo chini kitu ambacho hawa watu wa kampuni ya dume condoms wameamua kuweka mbele ya kadamnasi ya watanzania.
Kwenye hiyo LOGO yao juu ya herufi M kuna kitu kirefu kimesimama kama nanihii inapenya ndani ya mmmmh.
Jamani kwa wale wanaojali maadili ya kitanzania, hii LOGO inahitaji kufanyiwa marekebisho kabla ya kuwekwa mbele ya kadamnasi ya umma wa watu, la sivyo ibaki huko huko kwenye pakiti za condoms zinazotumika privately.
I stand to be corrected.
View attachment 706444 View attachment 706445
Wanatangaza matusiM ni mzigo alafu iyo U ni mashine inaingia
hahahaaaaaaaChange your attitude
Me naona kama mapembe tu au kuna kingine.
That's the thing manHahahahahahaha mapembe yale...... sema kwa mbaaali kama kichwa hivi
Kuwaza tuu mkuuThat's the thing man
Ni suala la kufanya adjustment kidogo tuBasata wawafungie na hao kwa kuweka logo ambayo ni kinyume na maadili #sipendagi_ubaguzi mm