Logo ya Dume Condoms, kuna nini kimesimama juu ya herufi M. Ni sawa na maadili ya kitanzania kweli?

Logo ya Dume Condoms, kuna nini kimesimama juu ya herufi M. Ni sawa na maadili ya kitanzania kweli?

Ule ni mkulamba unaenda langoni gomora, ile m ni kama mwanamke aliyeinamishwa ndivyo aonekanavyo
 
Mi hata nkiangalia vzuri sioni kibaya,wakati unachunguza utakua ulikua na mawazo ya kufikiria ulilofikiria
 
We look up at the same stars and see such different things. Najionea mapembe ya ng'ombe tu hapo!
 
Duuh watu mnachunguza[emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom