Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Mkuyenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaaaaap
HahahaTazama hapo chini kitu ambacho hawa watu wa kampuni ya dume condoms wameamua kuweka mbele ya kadamnasi ya watanzania.
Kwenye hiyo LOGO yao juu ya herufi M kuna kitu kirefu kimesimama kama nanihii ya kiume inapenya ndani ya nanihii ya kike, alafu herufi M ndio sehemu ya kukalia. Sio matusi haya wanaweka mbele ya watoto wetu?
Jamani kwa wale wanaojali maadili ya kitanzania, hii LOGO inahitaji kufanyiwa marekebisho kabla ya kuwekwa mbele ya kadamnasi ya umma wa watu, la sivyo ibaki huko huko kwenye pakiti za condoms zinazotumika privately.
Picha ya hapo chini ilirushwa kwenye TV na watoto wetu walitizama.
I stand to be corrected.
View attachment 709708
View attachment 706444 View attachment 706445