Logo ya Dume Condoms, kuna nini kimesimama juu ya herufi M. Ni sawa na maadili ya kitanzania kweli?

Logo ya Dume Condoms, kuna nini kimesimama juu ya herufi M. Ni sawa na maadili ya kitanzania kweli?

hahahahah huu uzi huu haufiki mbali.... umenifanya niwaze kwa maandishi.. labda hata kwa mtandao ule iko poa tuu kimatumizi
 
Tazama hapo chini kitu ambacho hawa watu wa kampuni ya dume condoms wameamua kuweka mbele ya kadamnasi ya watanzania.

Kwenye hiyo LOGO yao juu ya herufi M kuna kitu kirefu kimesimama kama nanihii ya kiume inapenya ndani ya nanihii ya kike, alafu herufi M ndio sehemu ya kukalia. Sio matusi haya wanaweka mbele ya watoto wetu?

Jamani kwa wale wanaojali maadili ya kitanzania, hii LOGO inahitaji kufanyiwa marekebisho kabla ya kuwekwa mbele ya kadamnasi ya umma wa watu, la sivyo ibaki huko huko kwenye pakiti za condoms zinazotumika privately.

I stand to be corrected.

View attachment 706444 View attachment 706445
Sasa watoto wetu ina wahusu nini hao watoto na kondom .
1.wataionaje
2.tangia lini watoto chini ya miaka 16 waone kinga na huku hawatumi.
3.18 ndio watatumia 16- 17 wanajiibia tu.
So sioni shida maana wao sio watumiaji.
Mpaka waje kuielewa niwamekuwa watumiaji.
 
Sasa watoto wetu ina wahusu nini hao watoto na kondom .
1.wataionaje
2.tangia lini watoto chini ya miaka 16 waone kinga na huku hawatumi.
3.18 ndio watatumia 16- 17 wanajiibia tu.
So sioni shida maana wao sio watumiaji.
Mpaka waje kuielewa niwamekuwa watumiaji.
Hiyo picha hapo chini ni kipindi kinachorushwa kwenye TV na watoto wetu wanatazama
 
IMG_20180308_183619.jpg
 
Hahaha me naona pembe sasa we ulieona dudu ikipenya kwenye tundu ukapimwe mkojo c bure aki....
 
Kamwe hiyo Logo haikuwa kuandaliwa ili uone pembe. Watazamaji waliamua tu kutafsiri kuwa kuna pembe.
1. Kwani ng'ombe jike hana pembe?
2. Kuna miahusiano gani kati ya ng'ombe dume na kondomu?
Logo zote zinabeba aidha "matimizi ya bidhaa" au kufikisha ujumbe.

Nimewahi kushiriki mashindano kadhaa ya kudesign Logo ndani na nie ya Tanzania. Ni taasisi za bongo ndizo huwa hazizingatii kufikisha ujumbe kwa kupitia LOGO.
Chukua muda na google Logo meanings za bidhaa na corporations uone kile designers anachoficha ndani ya LOGO.

Ukiangalia kwa umakini utaona kile designer alichotaka kufikisha. Dont enter the Vagina without rubber protection....

Habari ya maadili inajadilika japo nafikiri tunaishi katika kipindi ambacho baadhi ya bidhaa zinahitaji maadili katika kuzitangaza huku wamiliki wakichagua njia ya kufikisha ujumbe kwa wengi kwa sababu kwa upande mwingine ni biashara pia.
 
Mbele ya watoto???

Watoto wanatokana wapi na condom?
 
Back
Top Bottom