The Illicit Mc
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 469
- 642
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Basata wawafungie na hao kwa kuweka logo ambayo ni kinyume na maadili #sipendagi_ubaguzi mm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Basata wawafungie na hao kwa kuweka logo ambayo ni kinyume na maadili #sipendagi_ubaguzi mm
Satanic logoTazama hapo chini kitu ambacho hawa watu wa kampuni ya dume condoms wameamua kuweka mbele ya kadamnasi ya watanzania.
Kwenye hiyo LOGO yao juu ya herufi M kuna kitu kirefu kimesimama kama nanihii ya kiume inapenya ndani ya nanihii ya kike, alafu herufi M ndio sehemu ya kukalia. Sio matusi haya wanaweka mbele ya watoto wetu?
Jamani kwa wale wanaojali maadili ya kitanzania, hii LOGO inahitaji kufanyiwa marekebisho kabla ya kuwekwa mbele ya kadamnasi ya umma wa watu, la sivyo ibaki huko huko kwenye pakiti za condoms zinazotumika privately.
I stand to be corrected.
View attachment 706444 View attachment 706445
Beautiful Nkosazana!!!Juu ya herufi M ni uume ule
Yeeees how is life man?Beautiful Nkosazana!!!
Matusi gani?Wanatangaza matusi
Makalio hujaona!?siku zote nimekuwa nadhani ina maanisha 'Mwanaume'
Ulitaka waweke Picha ya ronaldo au?Tazama hapo chini kitu ambacho hawa watu wa kampuni ya dume condoms wameamua kuweka mbele ya kadamnasi ya watanzania.
Kwenye hiyo LOGO yao juu ya herufi M kuna kitu kirefu kimesimama kama nanihii ya kiume inapenya ndani ya nanihii ya kike, alafu herufi M ndio sehemu ya kukalia. Sio matusi haya wanaweka mbele ya watoto wetu?
Jamani kwa wale wanaojali maadili ya kitanzania, hii LOGO inahitaji kufanyiwa marekebisho kabla ya kuwekwa mbele ya kadamnasi ya umma wa watu, la sivyo ibaki huko huko kwenye pakiti za condoms zinazotumika privately.
I stand to be corrected.
View attachment 706444 View attachment 706445
Hapo ukibadilisha tu rangi nyeusi ukaipaka ktk uwawi mbili za M na ktk uwazi wa pembe ndio utaona nini jamaa anazungumzia.Tazama hapo chini kitu ambacho hawa watu wa kampuni ya dume condoms wameamua kuweka mbele ya kadamnasi ya watanzania.
Kwenye hiyo LOGO yao juu ya herufi M kuna kitu kirefu kimesimama kama nanihii ya kiume inapenya ndani ya nanihii ya kike, alafu herufi M ndio sehemu ya kukalia. Sio matusi haya wanaweka mbele ya watoto wetu?
Jamani kwa wale wanaojali maadili ya kitanzania, hii LOGO inahitaji kufanyiwa marekebisho kabla ya kuwekwa mbele ya kadamnasi ya umma wa watu, la sivyo ibaki huko huko kwenye pakiti za condoms zinazotumika privately.
I stand to be corrected.
View attachment 706444 View attachment 706445
inafaa kwenye avatar yakoAcheni kuwa na mawazo hasi