Vipi mkuu nipe taarifa kamili nasikia watu wanahama toka majumbani mwao na kuhamia mitaa ya lumumba ili kuunga mkono juhudi za ujenzi wa viwanda?Vipi ulichora katuni inayofanana kichwa na mkubwa ? karibu sana , huku yule Jokate vikuku kawa DC
Dah..bado Damange sasa ....ππππMkuu nimefurahi sana kusikia Jokate kawa mwenyekiti wa ulinzi na usalama maana alikuwa ni mdau