Loh! Nimetoka Segerea wadau

Loh! Nimetoka Segerea wadau

Hodi hodi wadau na washikaji wangu hasa wale wenye uzalendo wa hali ya juu kwa taifa letu,nipo huru baada ya kuwa segerea sasa nipo tayari kuliendeleza gurudumu
Cc:salary slip
Cc:mcubic
Cc:inspector Mwala
Cc:wadau wote wa CHADEMA
Cc:wadau wote wa cuf original
Cc:wadau wote wa ACT wazalendo
Cc:wachumia tumbo wote wa lumumba
Kulikono mdau? JF ilikuweka Mangelepa/Lupango au?
 
Tupo pamoja kuwashikisha adabu
watawanunua sana mwaka huu..
walizoea kuvilaza vyama vya nccr, cuf , tlp wamekwama kwa CHAMA LA WATU CDM. wanapata TAAABU SANAAAAA kwa gharama kubwa. na hawatoshinda
 
watawanunua sana mwaka huu..
walizoea kuvilaza vyama vya nccr, cuf , tlp wamekwama kwa CHAMA LA WATU CDM. wanapata TAAABU SANAAAAA kwa gharama kubwa. na hawatoshinda
Wanajidanganya sana maana upinzani upo nyoyoni mwa watanzania
 
Kama sehemu ya kujikinga kwenda segerea, unaweza kutwambia ni kosa lipi lilikupeleka lupango?
 
Karibu sana mkuu,huku mtaani kuna mtu anajiita jiwe,kuna mtu anatamani kuwa kiongozi wa malaika,dodoma imekuwa jiji na limeongoza mapato kuliko jiji la dar,siku hizi watu wanauza utu wao kwa vipande vya kodi.
 
Back
Top Bottom