Loh! Nimetoka Segerea wadau

Loh! Nimetoka Segerea wadau

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Hodi hodi wadau na washikaji wangu hasa wale wenye uzalendo wa hali ya juu kwa taifa letu,nipo huru baada ya kuwa segerea sasa nipo tayari kuliendeleza gurudumu
Cc: Salary Slip
Cc: mcubic
Cc: Inspector Mwala
Cc: wadau wote wa CHADEMA
Cc: wadau wote wa cuf original
Cc: wadau wote wa ACT wazalendo
Cc: wachumia tumbo wote wa lumumba
 
Vipi ulichora katuni inayofanana kichwa na mkubwa ? karibu sana , huku yule Jokate vikuku kawa DC
Vipi mkuu nipe taarifa kamili nasikia watu wanahama toka majumbani mwao na kuhamia mitaa ya lumumba ili kuunga mkono juhudi za ujenzi wa viwanda?
 
Wanasema ukienda Mara moja.utarudi tena.
Lini utaenda tena
 
Back
Top Bottom