Nilijua umetoka gerezaniUmejiunga Jf lini mkuu?hujawahi kupigwa ban?
Kulikono mdau? JF ilikuweka Mangelepa/Lupango au?Hodi hodi wadau na washikaji wangu hasa wale wenye uzalendo wa hali ya juu kwa taifa letu,nipo huru baada ya kuwa segerea sasa nipo tayari kuliendeleza gurudumu
Cc:salary slip
Cc:mcubic
Cc:inspector Mwala
Cc:wadau wote wa CHADEMA
Cc:wadau wote wa cuf original
Cc:wadau wote wa ACT wazalendo
Cc:wachumia tumbo wote wa lumumba
Toa sababu zilizokuweka segerea inawezekana ni mpanga magogo barabarani
Pole! Ulifanya uchochezi gani maana kila neno tanzania ni uchocheziDaaaaa mkuu siunajua tena mfungwa hachagui gereza?
watawanunua sana mwaka huu..Tupo pamoja kuwashikisha adabu
Especially kuhusu kauli zake teteVipi huko Segerea askari na wafungwa wanamuongeleaje Jiwe?
usiseme hivyoNamshukuru mungu sijawahi kuingia huko.na sitarajii