evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,333
JF wanakosea sana kama wanatoa ban bila kueleza kosa kwa "mfungwa". Nao yawapasa kuendana na kanuni ya haki ya asili( natural justice)Miezi 6 duu, siku ingine tafuta wakili
Nikweli kabisa mwanzoni walikuwa wanafanya hivyo lkn naona mambo yanaenda kimyakimya tu mtu inakuwa vigumu kujua kosa lako na kulijutiaJF wanakosea sana kama wanatoa ban bila kueleza kosa kwa "mfungwa". Nao yawapasa kuendana na kanuni ya haki ya asili( natural justice)
So sad. Ujumbe wa kutenda kwa mujibu wa haki asili (natural justice) umfikie Mr MelloNikweli kabisa mwanzoni walikuwa wanafanya hivyo lkn naona mambo yanaenda kimyakimya tu mtu inakuwa vigumu kujua kosa lako na kulijutia
Ni kama ulihukumiwa kunyongwa ila bahati mbaya mtia saini aligomaMkuu Mgibeon nilikuwa segerea ya Jf nilipigwa ban ya kufa mtu
Mkuu Mgibeon nilikuwa segerea ya Jf nilipigwa ban ya kufa mtu