Loh! Nimetoka Segerea wadau

Loh! Nimetoka Segerea wadau

Mtaani kwetu ukisema ulikuwa segerea inamaana ulikuwa umewekwa msukule..
Pole Sana mkuu!!
 
Aisee hongera sana, kukaa kwako segere una mengi ya kutufunza,

Usishqngae kwann nimekupa hongera
 
JF wanakosea sana kama wanatoa ban bila kueleza kosa kwa "mfungwa". Nao yawapasa kuendana na kanuni ya haki ya asili( natural justice)
Nikweli kabisa mwanzoni walikuwa wanafanya hivyo lkn naona mambo yanaenda kimyakimya tu mtu inakuwa vigumu kujua kosa lako na kulijutia
 
Nikweli kabisa mwanzoni walikuwa wanafanya hivyo lkn naona mambo yanaenda kimyakimya tu mtu inakuwa vigumu kujua kosa lako na kulijutia
So sad. Ujumbe wa kutenda kwa mujibu wa haki asili (natural justice) umfikie Mr Mello
 
Inawezekana Bashite alikuwa nyuma ya ban hiyo Mkuu.. Pole sana..
Nashukuru sana mshika dau sasa kama Bashite anaingilia hadi huku jukwaani si ndio mwisho wa lile neno ....GT....?
 
Karibu maana maisha yanaendelea
 
Back
Top Bottom