Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna 'hunting blicks' nyingi tu mchini, na wamiliki, majority kutoka maulaya, ni wakali vibaya kwa 'trespassers'! ... wanaoonekana kuwa wakali kwa 'trespassers' ni wale wa Loliondo peke Yao! ... WHY THIS SELECTIVE REPORTING?Mwarabu wa Dubai anavyong'ang'ania ardhi ya Wamasai Loliondo na anusukuma Serikali hadi serikali inapinda sheria ili kumpendeza na kumtimizia haja yake.
Waziri wa Maliasili amefika Loliondo mara 3 na kila mara anasisitiza kuwa ni lazima serikali itaongea na mwarabu ili ardhi anayotumia sasa ipunguzwe kwani ardhi yote ya Loliondo ni yake.
Waziri atambue tena haki ya ardhi ya wamasai wa Loliondo, mwekezaji wa Dubai ana haki ya kuzidi ya wazawa.
Watanzania tufahamu na tuwasaidie wana Loliondo walinde ardhi yao.
hivi naomba mnieleweshe, ardhi ya loliondo mwarabu anaitumia kufanya nini? nini anachokifanya na sisi tunafaidikaje nacho? kwa mwenye uelewa naomba atufafanulie.Mwarabu wa Dubai anavyong'ang'ania ardhi ya Wamasai Loliondo na anusukuma Serikali hadi serikali inapinda sheria ili kumpendeza na kumtimizia haja yake.
Waziri wa Maliasili amefika Loliondo mara 3 na kila mara anasisitiza kuwa ni lazima serikali itaongea na mwarabu ili ardhi anayotumia sasa ipunguzwe kwani ardhi yote ya Loliondo ni yake.
Waziri atambue tena haki ya ardhi ya wamasai wa Loliondo, mwekezaji wa Dubai ana haki ya kuzidi ya wazawa.
Watanzania tufahamu na tuwasaidie wana Loliondo walinde ardhi yao.
Zaidi ya wanyama palehivi naomba mnieleweshe, ardhi ya loliondo mwarabu anaitumia kufanya nini? nini anachokifanya na sisi tunafaidikaje nacho? kwa mwenye uelewa naomba atufafanulie.
hata kama watatoa hiyo, mbona ni ndogo sana kulinganisha na uthamani wa maisha ya wamasai? hizo ni millions sio billions za kibongo ujue, ni hela ndogo sana sana ukilinganisha na hasara anayotutia mwarabu kwa kuiba wanyama kupeleka dubai.Hivi kweli haw ajamaa wangekuwa wantaoa hizi "OBC contributes up to TSh. 354,967,000.00 annually for community development in Loliondo."
Leo loliondo si ingekuwa DUBAI?
sasahivi Watanganyika tufunguke, tujue tangu huyo mwarabu amepewa hiyo ardhi ametufaidisha nini? na alipewapewaje. hii nchi ni ya kwetu hatutakiwi kuamuliwa cha kufanya na mzanzibar. mwinyi aliyetoa loliondo ni mzenji, sa100 naye anafanya apendavyo ni mzenji, tutajifunza lini? tupate Tanganyika yetu tujue nini cha kufanya.Hakuuziwa. Alipewa bure hiyo ardhi eti ni mwekezaji. Ukiuliza amewekeza nini hupati jibu.
Uwindajihivi naomba mnieleweshe, ardhi ya loliondo mwarabu anaitumia kufanya nini? nini anachokifanya na sisi tunafaidikaje nacho? kwa mwenye uelewa naomba atufafanulie.
sasa kwanini anatunyima raha nchi nzima miaka nenda rudi, na kwanini mwinyi alijilaumu kwenye kitabu chake, kuna nini alifanya fyongo, lazima kuna kitu? na tukimpora tuna hasara gani?Uwindaji