pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Hivi kweli wa Tanzania tunanyamaza wakati wenzetu Wamasai wananyanyaswa??!!
Ktk ardhi yao? Kisa mwarabu? hawahawa wa bandari? Jamani tunyanyuke tuseme hapana!
Ktk ardhi yao? Kisa mwarabu? hawahawa wa bandari? Jamani tunyanyuke tuseme hapana!