Lomalisa Mutambala: Mchezaji pekee anayecheza Ligi Kuu Tanzania aliyewahi kuchukuwa ubingwa na timu yake ya taifa DRC

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
WACHEZAJI PEKEE WANAOCHEZA LIGI KUU TANZANIA AMBAO WAMEWAHI KUWEMO KWENYE KIKOSI CHA TIMU YAP YA TAIFA IKITWAA UBINGWA WA AFRICA. LOMALISA WAZIRI WA MAJI. NA YANNICK BANGALA LITOMBO MZEE WA KAZI CHAFU

Ebwanaee nilikuwa napitia stats za Joyce LOMALISA Mwaka 2016 alibeba ndoo chan 2016 iliyofanyika Rwanda. Katika mechi ya fainali waliyokutana na Mali vikosi vilikuwa

DR Congo: Ley Matampi, Yannick Bangala, Joyce Lomalisa, Junior Baometu, Joel Kimwaki, Merveille Bope, Mechak Elia, Doxa Gikanji, Nelson Munganga, Zacharie Mombo, Jonathan Bolingi

Mali: Djigui Diarra, Abdoul Dante, Issaka Samake, Aliou Dieng, Abdoulaye Diarra, Moussa Sissoko, Mamadou Doumbia, Sekou Koita, Lassana Samake, Hamidou Sinayoko, Mamadou Coulibaly

Nb: Aliu dieng Yuko chama kubwa Al ahly na Bangala alipitia Yanga na LOMALISA kama Kawa ndo WAZIRI wa wananchi wa maji na Mdaka mishale

Pia LOMALISA alikuwepo Kwenye KIKOSI CHA Congo DRC Afcon 2017 kilitolewa Kwa taaaabi na Ghana Kwenye. Robo fainali
ingia Kwenye Link group C angalia KIKOSI CHA DRC na kama hutojali angalia na TOGO utamuona mwamba Vincent Bossou MCHEZAJI wa young Africans
 
Ukute unakaa kwa Shemeji yako hujui hata Bei ya sukari[emoji1745]Nchi ngumu sana hii
 
"mchezaji pekee aliyewahi kutwaa kombe na timu yake ya taifa na anachezea ligi kuu NBC"

swali kwanini awe pekee wakati bangala wa azam nae alitwaa huo mwaka 2016 au bangala hayupo tena azam!?
 
Na atabaki kuwa mchezaji pekee aliyetwaa ubingwa na DRC, Inonga asahau hilo kesho wanatolewa na Ivory Coast.
Duh..naomba nikuambie tu wajomba zangu wanaenda kutwaa hilo kombe tukilitwaa nakupa jezi original ya leopards..tukitolewa bahati mbaya
 
Ungemuuliza huo ubingwa wa DRC 2016 uliwavusha wapi Uto usikie majibu yake ya akili kisoda 😂
Ila watanzania hamtakiwi kuchekana hasa ktk mpira maana wote ndio wale wale tu ...
Makolo mnashangilia drc ya sasa kwa ajiri ya Inonga
Utopolo nao hali kadhalika

Huku timu yenu kichwa cha mwendawazimu iko iko tu kama mashabiki walivyo
 
Utapata degedege bure kwa kutafuta sifa za kijinga
 
Mbona hujamtaja Ya Nick Bangala wa Azam. Naye alikuwepo kwenye kikosi. Inabidi Inonga atwae kombe ili kukata maneno ya kijinga.
 
Na atabaki kuwa mchezaji pekee aliyetwaa ubingwa na DRC, Inonga asahau hilo kesho wanatolewa na Ivory Coast.
iyo mechi unacheza wewe miwanawake ya tz ina roho mbaya ndomana um$laya tu umekukaa hapo kwenye tumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…