Lomalisa Mutambala: Mchezaji pekee anayecheza Ligi Kuu Tanzania aliyewahi kuchukuwa ubingwa na timu yake ya taifa DRC

Lomalisa Mutambala: Mchezaji pekee anayecheza Ligi Kuu Tanzania aliyewahi kuchukuwa ubingwa na timu yake ya taifa DRC

WACHEZAJI PEKEE WANAOCHEZA LIGI KUU TANZANIA AMBAO WAMEWAHI KUWEMO KWENYE KIKOSI CHA TIMU YAP YA TAIFA IKITWAA UBINGWA WA AFRICA. LOMALISA WAZIRI WA MAJI. NA YANNICK BANGALA LITOMBO MZEE WA KAZI CHAFU
Wakati huo walikuwa wakicheza katika klabu gani? 😁 😁 😁
 
Ila watanzania hamtakiwi kuchekana hasa ktk mpira maana wote ndio wale wale tu ...
Makolo mnashangilia drc ya sasa kwa ajiri ya Inonga
Utopolo nao hali kadhalika

Huku timu yenu kichwa cha mwendawazimu iko iko tu kama mashabiki walivyo
Utopolo ndio wajinga, Simba tupo vizuri na Inonga wetu anatuwakilisha vyema.
 
WACHEZAJI PEKEE WANAOCHEZA LIGI KUU TANZANIA AMBAO WAMEWAHI KUWEMO KWENYE KIKOSI CHA TIMU YAP YA TAIFA IKITWAA UBINGWA WA AFRICA. LOMALISA WAZIRI WA MAJI. NA YANNICK BANGALA LITOMBO MZEE WA KAZI CHAFU

Ebwanaee nilikuwa napitia stats za Joyce LOMALISA Mwaka 2016 alibeba ndoo chan 2016 iliyofanyika Rwanda. Katika mechi ya fainali waliyokutana na Mali vikosi vilikuwa

DR Congo: Ley Matampi, Yannick Bangala, Joyce Lomalisa, Junior Baometu, Joel Kimwaki, Merveille Bope, Mechak Elia, Doxa Gikanji, Nelson Munganga, Zacharie Mombo, Jonathan Bolingi

Mali: Djigui Diarra, Abdoul Dante, Issaka Samake, Aliou Dieng, Abdoulaye Diarra, Moussa Sissoko, Mamadou Doumbia, Sekou Koita, Lassana Samake, Hamidou Sinayoko, Mamadou Coulibaly

Nb: Aliu dieng Yuko chama kubwa Al ahly na Bangala alipitia Yanga na LOMALISA kama Kawa ndo WAZIRI wa wananchi wa maji na Mdaka mishale

Pia LOMALISA alikuwepo Kwenye KIKOSI CHA Congo DRC Afcon 2017 kilitolewa Kwa taaaabi na Ghana Kwenye. Robo fainali
ingia Kwenye Link group C angalia KIKOSI CHA DRC na kama hutojali angalia na TOGO utamuona mwamba Vincent Bossou MCHEZAJI wa young Africans
Sasa Bangala hachezi NBC?! This is Verbal Diarrhea.
 
Mantiki Iko hao wachezaji walitwaa Hilo kombe hakuwepo yanga na Azam kipindi hichi maana yake viwango vyao vilkuwa vikubwa sana ndio maana hawakuwpo kwenye hizo timu.kiufupi hawakuwa wachezaji wa hizo timu
 
G

Olini alikuwa Diarra unasemaje hapo
 
Mkuu, walikuwa wanachezea vilabu vyao huko, wakati huu Inonga anaichezea Simba. Kwa ufupi Inonga anawakilisha Ligi Kuu ya NBC, hao wengine waliwakilisha Ligi ya DRC
Diarra Yuko wapi
 
Back
Top Bottom