Lomalisa Mutambala: Mchezaji pekee anayecheza Ligi Kuu Tanzania aliyewahi kuchukuwa ubingwa na timu yake ya taifa DRC

WACHEZAJI PEKEE WANAOCHEZA LIGI KUU TANZANIA AMBAO WAMEWAHI KUWEMO KWENYE KIKOSI CHA TIMU YAP YA TAIFA IKITWAA UBINGWA WA AFRICA. LOMALISA WAZIRI WA MAJI. NA YANNICK BANGALA LITOMBO MZEE WA KAZI CHAFU
Wakati huo walikuwa wakicheza katika klabu gani? 😁 😁 😁
 
Ila watanzania hamtakiwi kuchekana hasa ktk mpira maana wote ndio wale wale tu ...
Makolo mnashangilia drc ya sasa kwa ajiri ya Inonga
Utopolo nao hali kadhalika

Huku timu yenu kichwa cha mwendawazimu iko iko tu kama mashabiki walivyo
Utopolo ndio wajinga, Simba tupo vizuri na Inonga wetu anatuwakilisha vyema.
 
Sasa Bangala hachezi NBC?! This is Verbal Diarrhea.
 
Mantiki Iko hao wachezaji walitwaa Hilo kombe hakuwepo yanga na Azam kipindi hichi maana yake viwango vyao vilkuwa vikubwa sana ndio maana hawakuwpo kwenye hizo timu.kiufupi hawakuwa wachezaji wa hizo timu
 
G
Mantiki Iko hao wachezaji walitwaa Hilo kombe hakuwepo yanga na Azam kipindi hichi maana yake viwango vyao vilkuwa vikubwa sana ndio maana hawakuwpo kwenye hizo timu.kiufupi hawakuwa wachezaji wa hizo timu
Olini alikuwa Diarra unasemaje hapo
 
Mkuu, walikuwa wanachezea vilabu vyao huko, wakati huu Inonga anaichezea Simba. Kwa ufupi Inonga anawakilisha Ligi Kuu ya NBC, hao wengine waliwakilisha Ligi ya DRC
Diarra Yuko wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…