London hakuna Migahawa ya Vyakula vya Kiswahili

Naishi Liverpool Street London kama unakujua, tafadhali kama hutojali naomba majina ya hizo restaurants za huku unasosema il nizigoogle, ahsante saaana. πŸ™πŸ™
 
Hata kama unafanya kazi sana au uliamua kujiweka kivyako vyako,
Una muda gani unaishi London ?
Maana wengi tu wako bize na hizo kazi, lakini wanaijua London nje ndani mpaka kujua maeneo gani wako wa nyumbani kwa mambo ya msosi, au kuna mbadala wa maeneo ambayo wasomali wako wengi, na wana msosi mtamu balaaa kushinda hata wa kizenji..
 
Nenda apo london stand upate wa kushoto kata kama unaenda kulia utakuta kuna mpemba mmoja anakaanga viepe Ingia apo
Niko hapa tangu mdogo, tatizo sio mtu wa kutoka pia mara nyingi kazi na nyumbani.

Chengine sikuwa saana na vyakula vya nyumba kabisa kuwa mume wangu alopita nilikuwa nikipika vyakula vya kwao.
 
Niko hapa tangu mdogo, tatizo sio mtu wa kutoka pia mara nyingi kazi na nyumbani.

Chengine sikuwa saana na vyakula vya nyumba kabisa kuwa mume wangu alopita nilikuwa nikipika vyakula vya kwao.
Hamkubahatika kupata mtoto? Ulikuwa unaulizia mchumba/ mume-40+

Halafu upo london tangu utoto mpakq leo usijui wapi kuna street food/restaurants na misosi inayorandana na huku bongo?
 
Hamkubahatika kupata mtoto? Ulikuwa unaulizia mchumba/ mume-40+

Halafu upo london tangu utoto mpakq leo usijui wapi kuna street food/restaurants na misosi inayorandana na huku bongo?
Nimeshajibu kwamba nilikuwa sijishughulishi na vyakula vya nyumbani kabisa baada ya kuolewa.

Nakuhusu mchumba ndio mume lakini sina papara kwa sababu watanzania wananipa tabu kuwafahamu, kejeli nyingi mnooo.
 
Ina maana hakuna makande? Sitaki kuamini kwamba wapare wamekuwa wazembe kiasi hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…