Zanzibar2014
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 743
- 591
- Thread starter
- #21
Sijakufahamu kabisa🤦🏽♀️🤦🏽♀️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakufahamu kabisa🤦🏽♀️🤦🏽♀️
Naishi Liverpool Street London kama unakujua, tafadhali kama hutojali naomba majina ya hizo restaurants za huku unasosema il nizigoogle, ahsante saaana. 🙏🙏London kuna migahawa mingi tu inapika vyakula vya kibongo. Wapo wazungu na wapemba kibao wanaendesha migahawa ya chakula. Bahati mbaya sana, muundo wa vyakula, migahawa na bei vimekaa kitalii zaidi kuliko kiuhalisia wa maisha ya ulaji wa kibongo, hivyo huuzwa kwa bei ghali, huuzwa kwa kufanya order, na taste inaweza isiwe kivileeee.
Jambo lingine ambalo watu wanapaswa kujua ni kuwa, upishi na wapishi kwa zama hizi wamekaa kimataifa zaidi (kuhudumia watu kutoka mataifa tofauti tofauti) hivyo kila siku wanajifunza upishi wa namna tofauti tofauti ili kukidhi haja ya wateja. Mteja akifika tu akimpa order ya chakula basi kinapikwa chap chap. Ni pesa yako tu.
Nadhani mleta mada ameandika hapa for fun tu, hayuko serious na huenda hata London hajawahi kufika.
Sijakufahamu kabisa🤦🏽♀️🤦🏽♀️
Sijakufahamu kabisa
Nitaitizama ahsante saaanaTarbush Swahili Dishes African
THE 10 BEST African Restaurants in London (Updated 2024)
Best African Restaurants in London, England: Find Tripadvisor traveller reviews of London African restaurants and search by price, location, and more.www.tripadvisor.com
😳🙄Na mimi nasubir , maana ninahamu na makongoro ya mbuzi pamoja na ugali wa mtama....
LOLNataka chunga ntapata
Kirumbu je
😂😂
LOL 🙄😳Hivi London ni kubwa kama dar?
Sijui inanihusuvipi ushapata mchumba au?
vipi ushapata mchumba au?
LOL 😳🙄Inamo garden. Ipo kings road, kuna bwashehe mmoja anapika misosi ya kibongo. Wabongo wengi wanamwitaga "Mangi mbuzi"
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Nenda apo london stand upate wa kushoto kata kama unaenda kulia utakuta kuna mpemba mmoja anakaanga viepe Ingia apo
Niko hapa tangu mdogo, tatizo sio mtu wa kutoka pia mara nyingi kazi na nyumbani.Hata kama unafanya kazi sana au uliamua kujiweka kivyako vyako,
Una muda gani unaishi London ?
Maana wengi tu wako bize na hizo kazi, lakini wanaijua London nje ndani mpaka kujua maeneo gani wako wa nyumbani kwa mambo ya msosi, au kuna mbadala wa maeneo ambayo wasomali wako wengi, na wana msosi mtamu balaaa kushinda hata wa kizenji..
Hamkubahatika kupata mtoto? Ulikuwa unaulizia mchumba/ mume-40+Niko hapa tangu mdogo, tatizo sio mtu wa kutoka pia mara nyingi kazi na nyumbani.
Chengine sikuwa saana na vyakula vya nyumba kabisa kuwa mume wangu alopita nilikuwa nikipika vyakula vya kwao.
Nimeshajibu kwamba nilikuwa sijishughulishi na vyakula vya nyumbani kabisa baada ya kuolewa.Hamkubahatika kupata mtoto? Ulikuwa unaulizia mchumba/ mume-40+
Halafu upo london tangu utoto mpakq leo usijui wapi kuna street food/restaurants na misosi inayorandana na huku bongo?
Sijui vizuri uwaulize wao, mimi sijayaona.Ina maana hakuna makande? Sitaki kuamini kwamba wapare wamekuwa wazembe kiasi hiki
Ujuba sio ungwana bali ni upofu 🙏🙏Nenda apo london stand upate wa kushoto kata kama unaenda kulia utakuta kuna mpemba mmoja anakaanga viepe Ingia apo
Ngoja wajeSijui vizuri uwaulize wao, mimi sijayaona.