mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Jaribu kuficha ujinga Wewe!Biashara ya Mbowe imebuma rasmi
Hii chanjo ni kama ina ajenda ya suri alichofanya madam kukubali ni sawa lakin alichosema ni hiari ni sawa zaidi.Biashara ya Mbowe imebuma rasmi
Mbowe anavaa ushingi?Biashara ya Mbowe imebuma rasmi
Ulaya ni kubwa.Ni nchi gani hiyo unayoisemea? na wametumia chanjo ipi ?Huko magharibi chanjo imesaidia sana. Ndiyo maana unaona mashabiki wameanza kuruhusiwa kuingia viwanjani kutazama michezo mbalimbali.
Hakuna kitu kama hicho. Leo uingereza wametangaza maambukizi yanaongezeka na wanasema kabisa chanjo haizuii maambukizi ila eti inapunguza watakaolazwa hospitali kwa kuzidiwa. Wakati hata bila chanjo imedhihirika wengi hupo a bila dawa yoyote na wanaolazwa kwa kuzidiwa ni asilimia ndogo sana ya walioambukizwa hata bila chanjo. Kama ni kuangalia mpira huko ulaya kwani sisi hatuangalii?Huko magharibi chanjo imesaidia sana. Ndiyo maana unaona mashabiki wameanza kuruhusiwa kuingia viwanjani kutazama michezo mbalimbali.
Unamaanisha ukipata chanjo huwezi ambukizwa au huwezi Pata corona au...embu tujuze vizuri jomba kwanzaHuko magharibi chanjo imesaidia sana. Ndiyo maana unaona mashabiki wameanza kuruhusiwa kuingia viwanjani kutazama michezo mbalimbali.
Mbona nimesema ni London! Yaani Uingereza ambao wanaongoza ulaya kwa kuchanja watu wengi zaidi, lakini bado maambukizi wametangaza yanaongezeka!!Ulaya ni kubwa.Ni nchi gani hiyo unayoisemea? na wametumia chanjo ipi ?
Sure...mambo Yao ya biashara sisi tunahangaika nayo bureeIfike mahali dunia ione huu ni ugonjwa kama magonjwa mengine so watu waruhusiwe kwenda watakapo Ili maisha yaendelee tutakaa hivi mpaka lini?
Corona ni mambo ya siasa zaidi kwenye Uchumi yule anaetaka kusafiri apate chanjo aende atakako tumechokaaa
Chanjo ya covid 19,ni biashara kama biashara zingine.Sometimes tungefanya tathmini ya ile miti dawa zetu na zile covidol zetu.huenda zilikuwa ni tiba sahihi.Mbona nimesema ni London! Yaani Uingereza ambao wanaongoza ulaya kwa kuchanja watu wengi zaidi, lakini bado maambukizi wametangaza yanaongezeka!!
hiweeeee.MATAGA bado hamuamini kabisa kuwa Hiwe is no More
ulaya nako kuna lumumba!!!firigisi wewe.Kundi kubwa la vijana wa Lumumba mnapakatwa hii ndiyo shida