#COVID19 London: Maelfu waandamana dhidi ya chanjo ya Corona, uvaaji wa barakoa na lockdown

#COVID19 London: Maelfu waandamana dhidi ya chanjo ya Corona, uvaaji wa barakoa na lockdown

Huko magharibi chanjo imesaidia sana. Ndiyo maana unaona mashabiki wameanza kuruhusiwa kuingia viwanjani kutazama michezo mbalimbali.
Chanjo ipi tuambiane basi. .mbona takwimu Za corona bado zipo juu. Ni nchi gani hizo
 
Upinzani dhidi ya chanjo ya corona ñi mkubwa mno huko nchi za magharibi japo serikali zao huwa hazitangazi. Angalia maelfu wanavyoandamana mjini London. Huko watu wengi wamechanjwa na madhara yake wameyashuhudià. Halafu hapa anatokea mtu na kudai hakuna madhara!

Wakituiga watakufa fasta. Sisi tuna natural products nyingi na tunamtegemea Mungu. Wao hawamjui Mungu na hawana natural products. Waige waone cha mtema kuni!
 
Chanjo ya covid 19,ni biashara kama biashara zingine.Sometimes tungefanya tathmini ya ile miti dawa zetu na zile covidol zetu.huenda zilikuwa ni tiba sahihi.
Hizo zitasemwa zilikuwa awamu ya 5, hata wale watalaam inawezekanawalikuwa wanaunga juhudi.
Tunasubiri USA watushauri kama tutumie au la
 
Upinzani dhidi ya chanjo ya corona ñi mkubwa mno huko nchi za magharibi japo serikali zao huwa hazitangazi. Angalia maelfu wanavyoandamana mjini London. Huko watu wengi wamechanjwa na madhara yake wameyashuhudià. Halafu hapa anatokea mtu na kudai hakuna madhara!

Maelfu waliandamana bila shaka, ni nchi huru. Mamilioni walikaa foleni (kwa hiari yao) kupokea chanjo.
 
Wakituiga watakufa fasta. Sisi tuna natural products nyingi na tunamtegemea Mungu. Wao hawamjui Mungu na hawana natural products. Waige waone cha mtema kuni!
Usiseme hawana natural products. Ni sekta kubwa ya biashara huko! Hata wana faida: wanaweza kujua ni kitu gani yaliyo ndani ya hizo natural products kwa sababu kwao sheria inamlazimisha mwuuzaji kutangaza kama kuna mabaki ya madawa ya kilimo kwenye mizizi yao au la. Hapa unaweza kupata tangawizi iliyo
nyunyiziwa sumu ya wadudu hakuna anayekuambia.
 
Hawa majirani zetu wanalilia wembe! Wanasingizia vifo ya corona kwa kuzika majeneza yasiyo na maiti ila matakataka ili wapewe msaada!! Watu walitonywa wakawavamia na kulazimisha kufungua jeneza!! Hawakukuta maiti!!!

Sometime naona kama kiini macho huu ugonjwa au ni tumejengewa imani ya uwepo wake. Cha ajabu hao waandamanaji hakuna aliyevaa mask..
 
Siku mkigundua kuwa hata UKIMWI mlilishwa matango pori, naamini wengi watafunguka kutoka kwenye vifungo vya ARV.

ARV ni biashara kama ilivyo biashara ya chanjo ya corona.

Tofauti ni kwamba, hii chanjo imekuja zama mbaya za utandawazi — na uelewa wa watu umepanuka.

Laiti ingekuwa enzi zile za giza, hakika tungeangamia kama ambavyo maelfu wameangamizwa na ARV.

Halafu madaktari wetu wamezubaa mno, sijui hawajitambui?

Waliwezaje kulaghaiwa na huu utapeli?

Hivi hizi shule zinatusaidia kweli?
 
Ulaya ni kubwa.Ni nchi gani hiyo unayoisemea? na wametumia chanjo ipi ?

Maswali yote ya kipuuzi!! Kuna kitu unaficha au kuogopa kukisema. Nacho ni unapinga chanjo kwa ujumla. Hapa kwetu tuna wazo la kupinga chanjo lina sababu tofauti kabisa na waingereza!! Wao wanapinga kuendelea na makatazo ya kudhibiti mikusanyiko ambayo inaharibu shughuli zao za kiuchumi huku tayari wamechanjwa angalau chanjo moja au herd immunity imefikiwa. Wewe unasema chanjo hazijafanyiwa utafiti, zinazuia kuzaa, nk.

Wao hawapingi chanjo! Wanapinga makatazo yenye athari!! Huoni tofauti, au unasumbuliwa na lugha unataka kutumia picha kueleza jambo???
 
Siku mkigundua kuwa hata UKIMWI mlilishwa matango pori, naamini wengi watafunguka kutoka kwenye vifungo vya ARV.

ARV ni biashara kama ilivyo biashara ya chanjo ya corona.

Tofauti ni kwamba, hii chanjo imekuja zama mbaya za utandawazi — na uelewa wa watu umepanuka.

Laiti ingekuwa enzi zile za giza, hakika tungeangamia kama ambavyo maelfu wameangamizwa na ARV.

Halafu madaktari wetu wamezubaa mno, sijui hawajitambui?

Waliwezaje kulaghaiwa na huu utapeli?

Hivi hizi shule zinatusaidia kweli?

Unajaribu kusema nini mkuu? Kuwa ARV hazisaidii?? Kuwa ndio zilizoua wagonjwa badala ya magonjwa nyemelezi?

Wewe unahoji madaktrari wetu mimi ninapenda tu kujua ulichosema kuhusu ARV umejifunzia wapi. Nikiri ni mara ya kwanza leo kusikia kuwa ARV ndio inaua wagonjwa! Ikiwa ni mtazamo tu basi uko sahihi na wengine wowote wenye mtazamo hasi au chanya kuhusu chanjo - LAKINI usirudie kutangaza jambo kama ulivofanya bila taarifa sahihi!! Ni ujinga kukisema kitu kama unakijua kumbe hukijui.
 
Huko magharibi chanjo imesaidia sana. Ndiyo maana unaona mashabiki wameanza kuruhusiwa kuingia viwanjani kutazama michezo mbalimbali.
Pole mkurungwa kwa mawazo hko kumbe unaangalia mpira?
 
Back
Top Bottom