London: Makanisa zaidi ya 500 yamefungwa na baadhi kugeuzwa misikiti, zaidi ya misikiti 500 imejengwa, Uislam unakuwa kwa spidi ya radi Ulaya

Unaambiwa makanisa yanafungwa Uingereza (na ulaya) yanageuzwa misikiti, wewe unaleta habari ya uwezo.

Mnajidhihirisha wazi wazi mlioenda shule kusomea ujinga.
 
Hapa ndio tunapokwama wakristo Yesu anakuwaje Mungu?,mm salla Allahu alayhi waasalaam ni mtume wa Mwenyezi Mungu na Yesu alayhi salaam ni Mtume wa Mwenyezi Mungu.

Aleteia — Catholic Spirituality, Lifestyle, World News, and Culture › 2021/07/08 › 2-t...
Testimonies of 2 Syrian Muslims who've converted to Christianity

View attachment 2234812
Porojo tu hizo.

Mada inasema makanisa yanafungwa huko na kugeuzwa misikiti. Au huelewi hilo?
 
Upo sahihi, Uislamu ulianzishwa na ukatoliki ,Kuna ushahidi lukuki usio na shaka

Leo tuna ushahidi mwingi kwamba waislamu wanamwomba na kumwabudu bikra Maria kama wakatoliki wanavyofanya! Na kama vile Adolf Hitler na wanajeshi wa Nazi wa Katoliki wanavyochukia watu weusi, waislamu pia huchukia watu weusi kwa sababu Korani yao inasema

“siku ya mwisho watu ambao tu nyuso zao zitakuwa nyeupe ndio wataokolewa, na wale ambao nyuso zao zitakuwa nyeusi wataangamizwa" Korani Tukufu sura ya 3, aya ya 105,106.

kama ukisoma tu korani ya kiswahili utaikosa maana ya fungu hilo; watafsiri wa korani wanaficha ukweli wa baadhi ya vifungu kwa sababu kama watu wakiyasoma jinsi yalivyo, wengi leo wangekuwa wameuacha Uislamu.
Naamini kwamba kama Korani haikuandikwa na upapa, basi iliandikwa na shetani au roho ileile ya kishetani iliyovuvia madogima na mapokeo ya upapa.

Kwangu haigongi akili ya kawaida au ya kiroho kwamba Mungu wa mbinguni aliyevuvia Biblia kwa Roho wake, na kuagiza kwamba Yesu ni Mwana wake wa pekee kwa kuzaliwa, angekuja kuleta Korani inayopinga wokovu na kufundisha Yesu si kitu chochote ila Mwana wa Mariyamu tu! dogima lilelile linalofundishwa na kanisa katoliki. Angalia kwanini wanamwita Yesu mwana wa Mariamu badala ya Mwana Wa Mungu? Pia Yesu angewezaje kuzaliwa katika Hori la ng’ombe harafu baadaye miaka 600 mbele korani idai Yesu alizaliwa chini ya mtende?

Sababu hizi mbili tu zinatosha kufutilia mbali maoni ya korani, ni kama uvumbuzi wa mwanadamu tu na haupatani na mpango wa Mungu wowote ule.
 
Kanisa katoliki lilivumbua korani ili liweze kupata njia mpya ya kutekeleza madogima na mapokeo yake. Pia inajulikana wazi kwamba kiti cha upapa kilitoka katika upagani wa Uislamu; Alexander Hislop, akizungumza juu ya kiti cha enzi cha Petro au kiti cha enzi anachokalia Papa, anasema “wakati askari wa Ufaransa chini ya Jemedari Bonaparte walipoimiliki Roma mwaka 1795, walikuta nyuma yake, kwa Kiarabu, sentensi hii inayojulikana sana kutoka kwenye Korani,

“Hakuna mungu ila Mwenyezi Mungu, na Mohhomed ni Mtume Wake” — (The Two Babylons, Page 213, Chapter 6, Religious Orders, Section L).
 
Exactly. Ma shaa Allah, hiyo ndiyo huruma kubwa ya Waislaam, ukipigana nao, ukisema tu, wewe Umeamini na ukashadia, basi. Kwisha, hawapigani tena na wewe na watakulinga.

Allahu Akbar Allahu Akbar.
Mashaallah🥰🥰
 
Porojo tu hizo.

Mada inasema makanisa yanafungwa huko na kugeuzwa misikiti. Au huelewi hilo?
Islamu kwa sasa inaua wastani wa Wakristo 200,000 kila mwaka. Tarifa moja ililipoti kwamba: “kila dakika tatu Mkristo anateswa katika ulimwengu wa kiislam, na kwamba mwaka huu Wakristo zaidi ya 165,000 watauwawa kwa ajili ya imani yao, na wengi wao katika nchi za kiislamu” —(WND 12/14/2009)
 
Islamu sio tu kwamba inawatesa Wakristo, sasa hivi hata wanayafanya makanisa ya Kikristo kama vyumba vya mateso.

Taarifa kutoka Fox News, December 23, 2014 inasema:

“Nchi za kiislamu zinageuza makanisa ya kikristo huko Iraq na Syria kuwa makaburi ya ndani na vyumba vya mateso. .
 
Islamu huabudu mungu jua wa kipagani, allah, yuleyule wa tatu katika moja au wa moja katika tatu
 
Asili ya uislamu na ukatoliki ni upagani wa kale wa Wamisri.Wameiga mafundisho ya wapagani wa Misri ndipo wakaanzisha ukatoliki na uislamu.Waarabu waliukataa ukatoliki wakawa wanaendelea na ibada zao za kuabudu masanamu,Ili kuwaweka chini ya control moja Papa akawatuma mapadre wa jesuit ndio waliompa utajiri bi Khadija mke wa mtume Ili aanzishe uislamu kwa msaada wa watawa na padri wa kikatoliki ndie aliyemkaririsha QURAN Mtume Muhammad akijifanya ni malaika Jibril ndo maana QURAN imekopi maneno ya Biblia ambayo yalisukwa na hao majesuit .Madhehebu yote duniani ni matawi ya ukatoliki,ndo maana hata sasa Papa ndie mkuu wa dini zote duniani.
Nae ndie utoa direction ya Dunia iende vipi.Misimamo ya Trump ilipingana na Papa akaishia kipindi kimoja cha uraisi, mapapai yana corona alipingana na ajenda za corona wakampumzisha, wao ndio upanga nani awe raisi. Raila Odinga ndie next president wa Kenya ishapangwa hio upige kura usipige jiulize kwann UHURU anamsapoti Odinga sababu ameshakubaliana na agenda za Pope. Dunia ipo calculated KILA kitu kilishapangwa.
 

Wazungu washatoka kwenye mambo ya imani sasa wamehamia kwene sayansi na technologia tu!!..
Ni kweli kabisa makanisa yako matupu na yanageuzwa misikiti lakini si na wazungu ila na wahamiaji wanaofika ulaya kutoka syria,iraq,somalia,North africa kama Egypt libya pia ,yemen na nchi za west africa !!

Si ajabu hili kwan wahamiaji wakifika kule hawana pa kuabudia wanapewa hayo makanisa kwasababu hayatumiki!! Lakini si kweli kwamba wazungu ndo wanakua waislam hapana ni kiasi kidogo sana cha wanao convert
Wazungu wengi wanabaki kuwa watu wasio amini dini!!…
Dini zinabaki huku kwa nchi za ulimwengu wa tatu kama Uarabuni na Africa
 
Na Wazungu Wanahamia Pia wengi tu Tunawaona Watu washuhuri,Pia Kwenye Upande Wa Kuita Uarabu Ni Dunia Ya Tatu Labda Hujafika Au Haufatilii Kwenye Mitandao,Jarbu Fatilia Utajua.Afrika Mdo Dunia Ya Tatu
 
Utapataje uwongo wakati debate ina masaa 2 yeye ana upload clip za dakika kadhaa?

Mimi nimesha prove kutoka na Video zangu kwamba jamaa ni muongo si tu muongo kuquote vitu ambavyo havipo kwenye Uisilamu bali hata vya kwenye bible anatunga. Kama ulivyoona Video ya juu niliyoweka.

Sasa kama Mtu mpaka Vifungu Vya Bible anatunga anakuwaje Trustworthy kuaminiwa?
 
Mkuu Hata Wazungu wanasilimu wengi Mno, achana na layman kuna Masheikh wakubwa wakubwa wa kiisilamu wazungu. Yupo Hamza Yusuf, Daniel Haqiqatou, Hamza Andrea Tzortzis, na wengineo.

Soma huu uzi

Mfano Ujerumani waisilamu ni kama Milioni 3 ila Converts ni Takriban laki 1. Hivyo Migrants ni kweli wanachangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la waisilamu ila Bila hata Migrants Uisilamu pia ungeongezeka kwa kasi.

Hata ukiangalia ile research ya pewpew ambayo inasema uisilamu utakuwa mara 3 ya sasa wameweka projection kukiwa na 0 migration bado uisilamu unakuwa kwa kasi

 
Unaambiwa makanisa yanafungwa Uingereza (na ulaya) yanageusa misikiti, wewe unaleta habari ya uwezo.

Mnajidhihirisha wazi wazi mlioenda shule kusomea ujinga.
Nikisomea ujinga shuleni mimi, wewe unawashwa nini sasa [emoji848][emoji19]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…