London: Makanisa zaidi ya 500 yamefungwa na baadhi kugeuzwa misikiti, zaidi ya misikiti 500 imejengwa, Uislam unakuwa kwa spidi ya radi Ulaya

So kama sisi tumekuja na dini hebu nijibu maswali yafuatayo.

1. Huyo aliekuja na Dini kama Scam alijuaje mambo ya Future? Alijuaje science advanced miaka 1400 iliopita? Nitakupa mifano ya Vitu alivyotabiri mtume ama kuvielezea miaka hio.

-Mtume anasema Hakutasimama kiama kabla ya wachunga Mbuzi na ngamia ambao wanatembea pekupeku Mabedui wa jangwani watashindana kujenga Majengo marefu Duniani, leo hii maeneo waliyokua wakikaa mabedui Ndio Kuna majengo marefu duniani, wanashindana Tu Dubai na Saudia na Bado mengine yanajengwa alijuaje Mtume?

-Quran inasema miaka 1400 iliopita Viumbe hai vyote vimeumbwa na maji, hii imekuwa Confirmed baada ya Microscope kugunduliwa.

-Quran inasema Chuma si Material ya Hapa Duniani ni Material yameletwa tu, Ipo confirmed sasa hivi Meteor ilipiga Duniani na kuleta Chuma.

-Quran Imeelezea Vizuri sana suala la Embrology kuanzia manii mpaka Mtoto anapoform, Kajuaje Muhammad (S.A.W) MIAKA 1400 iliopita?

-Quran inaelezea Milima kama misumari, hivi karibuni imegundulika Milima ni kama Misumari, Tunachokiona juu ni nusu tu na Mlima unaingia Deep Ardhini.

-Pain receptors kuwa kwenye ngozi, for long time ilijulikana pain inatokana na ubongo, hivi karibuni imegundulika pain receptors zipo kwenye ngozi, imeelezewa kwenye Quran 1400 years ago

-quran inasema Kuongea Uongo ni Functiona inayotokea kwenye paji la uso, imekuwa Confirmed Karibuni part ya mbele ya ubongo ndio uongo unapotokea

-hii bing bang theory imeelezewa kwenye Quran

Kuna Facts kibao mtume amezitaja amejuaje? Miaka 1400 iliopita katikati ya jangwa? Ingekua ni fact moja ungesema labda ni coincidence ila kuna mamia ya facts.

Na yote 9, Kumi Mwenyez mungu ametoa Challenge kama kuna mtu anfikiri Quran Haijatoka kwa mungu basi ajaribu kutengeza hata Sura moja tu kama Quran, miaka 1400 sasa na Hakuna aliefanikiwa.

Huo uzi hapo juu utakusaidia sana katika hiyo mishangao yako, kwamba huyu mtu alijuaje? Is it a coincidence, how did this guy have knowledge that was before his time, au alibahatisha au ilikuwaje?!

Nasisitiza tena, ‘Uchawi’ au ‘miracles’ (tricks) kama baadhi ya wachungaji matapeli hapa mjini wanavyopenda kuziita ni ‘teknolojia’ usiyoijua. ‘Teknolojia’ ukishapata ujuzi wake tu, basi inaacha kuwa ‘uchawi’ na badala yake inabadilika na kuwa ‘knowledge / maarifa’.

Nikupe mfano mmoja, assume umeweza kurudishwa nyuma hadi katika kipindi cha Yesu ukiwa na hiyo smartphone yako, halafu katika kipindi ambacho yesu anafanya ‘miujiza’ ya kugeuza maji kuwa pombe, na wewe uanze kurekodi watu video kisha uanze kuwaonyesha, kati ya yesu na wewe mwenye smartphone, nani ataanza kusijudiwa kama Messiah? Obviously watakusujudia wewe kama si kukuone a wivu na kukuita mchawi, utasulubiwa kwa mijeledi na kutundikwa msalabani kwa kosa la UCHAWI. ila watu hawa wengejua inner working za hiyo smartphone, hakuna ambae angediriki kumuita mchawi, hakuna! ‘Uchawi’ ni ‘teknolojia’ usiyoijua, ukishaijua inaacha kuwa ‘uchawi’ na inakuwa ‘teknolojia’ kama zilivyo nyingine tulizozizoea. Nakupa mfano mwingine...

Hapa juzi juzi ROBERT HERIEL alifanya precise prediction ya kwamba tarehe 22 march katika siku ya equinox , mvua kubwa zitaanza kunyesha, na kweli hiyo siku mvua zilianza kupiga kweli kweli. Robert angeamua kujifanya ana nguvu supernatural mbele ya IDIOTS, angeweza kusema kwamba tarehe 22 march ataiamrisha mvua inyeshe, kumbe tayari ana knowledge ya inner workings za geograpgical ‘forces of nature / God’ katika siku ya equinox ambapo tarehe hiyo jua hulikaribia sana dunia, kwa mtu ambae hana ujuzi huu anaweza akaingia mkenge na kumuita Robert mchawi, lakini kwa watu wenye ujuzi wa teknolojia hiyo hatuoni cha ajabu. Tunafahamu kwamba it was a necessary ‘course of nature / God’ and it would not have happened in any other way, no amount of prayer or fasting was ever going to change the unconcious event of nature / God.

Similarly, wapo wengi walioweza kuwa na maarifa ambayo wengine hawakuwa nayo, na wakayatumia kuji-Glorify na kutafuta ‘Sujudu’ toka kwa binadamu wenzao, wapo wengi, akina mfalme Suleiman, akina Yesu, akina Muhammad na hata hawa wazungu wa sasa, wana Ujuzi mkubwa sana wanaotuficha, lengo ni kupata Wealth, power, reverence, pleasure, leisure , ‘Godliness’ and what not. Illimuniatis or the so called ‘the Illuminated’ wana maarifa mengi sana wanayotuficha, lengo ni ‘Dominance’ over all others, its human nature / God given attributes to crave for all that, na hakuna wa kumlamu, ndivyo tulivyo.

Only a knowledgeable wise person can come up with ‘DINI’, Hawa watu ni extraordinary, watau kama akina Muhammad hawakuwa watu wa kawaida, only now tunayaona hayo maarifa kama vitu vya kawaida, ila kwa huu ujuzi tulionao sasa, mtu akienda nao miaka ya akina Yesu, ataabudiwa kama Mungu. ‘Miujiza’ ni maarifa usiyoyajua, period. Nature / God unconsiously bestowed wisdom over them and what was to happen was always going to happen, no amount of prayer will ever change anything that is to happen.

DINI IS A SCAM created by the knowledgeable for purposes that i have put forth. Hivi bila kuonyesha uwezo wake huo,hivi kuna mtu angemkubalia yeye na wafuasi wake waoe wake 7? ,considering it is against a woman’s nature /God given nature kushare mwanaume? Ila wanakubali kwa sababu ya ile reverrance iliyotokana na uwezo wake ‘ulioonekana kuwa wa ajabu’; hivyo wakajinufaisha na kujifaidisha matamanio yao ya kimwili, DINI imefanikisha mengi sana kwa waliozomiliki, ikiwemo POLITICAL influence, na hata ECONOMIC DOMINANCE, unafikiri Hijja kule MECCA ni biashara ya nani? Wanaingiza Trillioni ngapi kila mwaka?
 
Mkuu upeo wako ni mdogo tu ningekua na muda ningekujibu maswali yako yote, ila kwa kifupi
MECCA imekuwa Saudi arabia Juzi juzi baada ya Uingereza kwenda pale, kusema Saudi wameanzisha Hajji kupata Hela ni Uongo.

Mecca ipo maelfu ya miaka, Imetengenezwa na Nabii IBrahim(a. S) na mwanawe Ismail (a.s), Toka Enzi za Babylon. Mwanzo alikuwa ni ismail na mama Yake tu Hajra, hakukuwa na mtu, Baadae wakaja wafanyabiashara na Kuvutiwa na Chemchem ya zamzam taratibu ikawa ka Mji,

Siku hizi Kuna Evidence kibao za Kisanyasi kuthibitisha haya, Kuna watu kibao wanaenda kutalii huko ni rahisi kujua Kitu kilijengwa lini.
 
Mimi sijabisha hayo mbona. Ila DINI IS A SCAM, na nimekueleza kwanini.
 
Sasa utatumiaji Hoja ya Saudia wakati saudia ni Nchi ya Juzi na Mecca ipo miaka na Miaka? Ni kama useme Serikali ya CCM ilisababisha Vita ya majimaji Watanganyika Kushindwa, CCM haiku exist kipindi cha Majimaji.

Nimekupa Hoja kibao juu huna hata Moja ya kujibu unakimbilia huku na kutokea kule.
1. Mtume alikuwa ni Masikini kafa masikini
2. Ni rare kukuta Dini yetu ipo kimaslahi, scholar wetu wakubwa wakubwa hawakuwa na maslahi yoyote na Dini, Relationship yao na Dini ni elimu tu.
Hivyo why wascam watu?

Na mkuu kama dini ni scam
1. Unakubali mwanaume mwenzako sasa hivi akakutia sound akuoe?
2. Utakubali kulala na mama yako?
3. Utakubali mwanao abadilishwe jinsia?

As far as i understand hivyo vitu vimekatazwa tu na dini.
 
Unaongelea kitu nilichokiweka mwishoni kama by the way ndio unakifanya maina response focus, basi acha nacho, soma hoja zingine, kwani dini ni uislam tu?. Mi naona tunazunguka mbuyu, hoja zangu nilizokupa zirejee, ndio hizo hizo , hazijabadilika.
 
Wasaidia kwa kuwapa video kama hii za viongozi wao wenyewe...

Hizi wanaosema ni viongozi wa dini so tunakuwa na uhakika hawadanganyi

Na zingine kama hizi

Mkuu na Akili zako zote hizi unamuangalia David Wood? The Guy is just Youtuber anatafuta tu Click ni muongo Kupita Maelezo, Ameshaumbuliwa mara Kibao hadi na wakristo wenzake.

Anajifanya Scholar akienda kwenye Mijadala ana Laptop yake ana Google kitakachokuja ndio Hicho hicho.
 
Mkuu na Akili zako zote hizi unamuangalia David Wood? The Guy is just Youtuber anatafuta tu Click ni muongo Kupita Maelezo,
Mfano kwenye hiyo video kipi kasema sio kweli?

Ninamuangalia kwa sababu kila claim anatoa source. So any sane mind can check na kila nikiangalia ni kweli.

Inawezekana kabisa hujaangalia hata hizo video umesimuliwa tu haya unayoandika. Challenge yangu ni rahisi tu, katika hii video sikiliza halafu sema ni wapi specifically kadanganya?

Unaweza usimpende, unaweza usiipende namna yake ya kufikisha ujumbe. That's fine. Ila kusema anatafuta clicks hapo umedanganya.

Ameshaumbuliwa mara Kibao hadi na wakristo wenzake.
Akina nani hao? Na walimuumbua kuhusu nini?

Anajifanya Scholar akienda kwenye Mijadala ana Laptop yake ana Google kitakachokuja ndio Hicho hicho.
Hope huwa mnakuwa wote wakati aki Google maana kwenye video hivyo vipande vya ku google huwa havipo.

Ukitaka kusikia mambo yale ambayo ma Imamu na viomgozi wako hawataki ujue na yanayotoka katika vitabu vya kiislam David ni moja kati ya watu watakaokusaidia.
 
Mfano kwenye hiyo video kipi kasema sio kweli?

Ninamuangalia kwa sababu kila claim anatoa source. So any sane mind can check na kila nikiangalia ni kweli.

Inawezekana kabisa hujaangalia hata hizo video umesimuliwa tu haya unayoandika. Challenge yangu ni rahisi tu, katika hii video sikiliza halafu sema ni wapi specifically kadanganya?

Unaweza usimpende, unaweza usiipende namna yake ya kufikisha ujumbe. That's fine. Ila kusema anatafuta clicks hapo umedanganya.

Akina nani hao? Na walimuumbua kuhusu nini?

Hope huwa mnakuwa wote wakati aki Google maana kwenye video hivyo vipande vya ku google huwa havipo.

Ukitaka kusikia mambo yale ambayo ma Imamu na viomgozi wako hawataki ujue na yanayotoka katika vitabu vya kiislam David ni moja kati ya watu watakaokusaidia.
Unaweza Kuweka kwa maandishi hoja zake? Sina Time ya Kumuangalia Huyo jamaa ila namfahamu vizuri tu.
 
Kama huna time ya kumuangalia then huna haki ya kumsema kwa kuhadithiwa. Mimi pia sina time ya kuwa katibu muhtasi wako
 
Nishaangalia makumi ya Video zake kama sio mamia jamaa ni Muongo sana

Huyu ni Pastor sijui Mchungaji mwenzake akimkataa

Hii ni Opinion ya watu mbalimbali Including wakristo wakimpinga

Angepost mjinga mjinga mwengine humu, pengine ningeipotezea hio comment ila nimekuwa tu suprised na wewe kuchotwa akili na mtu anayepretend kama Mkristo kumbe ni youtuber anaetafuta Clicks.

Ngoja uone na Video zake anakata Vipande vya Quran na Kuvila, Jamaa anaweza Fanya Chochote kwa Ajili ya Clicks.
 
Maelezo ya kusema ngamia aliumbwa yalifaa kumpa yule anayeamini katika dhana ya uumbaji

Thibitisha huyo Mungu tasa asiyezaa yupo
Huo Ndo Uthibitisho Kwa mwenye Akili Kuwa Ni Kiumbe Wa Tofauti Haweza Kuwa Na Sifa Kama Za viumbe Aliowaumba
 
Nishaangalia makumi ya Video zake kama sio mamia jamaa ni Muongo sana

Huyu ni Pastor sijui Mchungaji mwenzake akimkataa

Hii ni Opinion ya watu mbalimbali Including wakristo wakimpinga

Angepost mjinga mjinga mwengine humu, pengine ningeipotezea hio comment ila nimekuwa tu suprised na wewe kuchotwa akili na mtu anayepretend kama Mkristo kumbe ni youtuber anaetafuta Clicks.

Ngoja uone na Video zake anakata Vipande vya Quran na Kuvila, Jamaa anaweza Fanya Chochote kwa Ajili ya Clicks.

Achana na hizo stori. Nimekuuliza swali rahisi sana. Kama anachokisema ni uongo si toa video moja tu halafu sema dk namba fulani kasema kitu fulani ambacho ni uongo?

Inawezekana vipi kwa mtu anayedanganya video mia ukashindwa kutoa hata dk 1 ya uongo?

Angalia basi hata video zao hao "wachungaji" ili uje na video yake moja tu ambayo kasema uongo.

Vinginevyo hujui hata unachokisema! Unaongozwa na kusikia sikia tu na sio vitu ambavyo umeshihudia!
 
Shida ni video ya Uongo tu? The Guy ameumbuliwa mara kibao kuna Muda alipromise majibu yake yakijibiwa atasilimu na Akajibiwa macho meupe mpaka leo yupo?

Hio wamepeleka Hadithi ya Uongo

Hapa akijimung'unya

Video yake aliyopromise kuwa musilamu akijibiwa

Hapa akidanganya kuhusu Bible

Ukitaka Umu enjoy vizuri David wood angalia Full debate sababu Kwenye Chanell yake anazi edit. Angalia Full Video Vs Outhman Farooq, Mohammed Hijab na Daniel Haqiqatou.

Vs Farooq

Vs Hijab
 
Baba Mwaj mbona Mwajuma kazi anayo. Hizo video unazoleta kuna zingine nilishaziangalia the day zimetoka, acha hii ya kwako ya ku search Youtube na ku paste hapa. Nimesema hivi, ngoja nirudie kwa mara ya mwisho, pole pole kabisa:

Tafuta video ya David Wood, umenielewa eeh? Sio ya Dan, au Farooq au Zakir au Shabir. Video ya Dizzo! Umeelewa eeh?

Sasa ukiipata iangalie. Halafu ukiisha kuiangalia note sehemu ambayo/ambazo zina uongo. Yaani toka katika video ya David Wood unote time ambapo amesema kitu cha uongo. Umeelewa baba Mwaj? Sasa hizo sehemu ndio uzilete hapa.

Hapo utakuwa umemwumbua muongo, na kila mwenye utimamu wa akili atakubaliana nawe. Nami utanisaidia niache kusikiliza video zake maana mimi na uongo ni mbalimbali!

Ila mpaka sasa umepiga chai tu na link za kuokoteza!
 
Alhamdullilah......Safari hii wanakubali bila mapanga.

Jabir reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said:

أُمِرْتُ أَنْ أُقَاتِلَ النَّاسَ حَتَّى يَقُولُوا لَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ فَإِذَا قَالُوا لَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ عَصَمُوا مِنِّي دِمَاءَهُمْ وَأَمْوَالَهُمْ إِلَّا بِحَقِّهَا وَحِسَابُهُمْ عَلَى اللَّهِ

I have been commanded to fight the people until they say there is no God but Allah, so when they say there is no God but Allah then their lives and wealth are protected from my sword, except by right of justice, and their reckoning is with Allah
Exactly. Ma shaa Allah, hiyo ndiyo huruma kubwa ya Waislaam, ukipigana nao, ukisema tu, wewe Umeamini na ukashadia, basi. Kwisha, hawapigani tena na wewe na watakulinga.

Allahu Akbar Allahu Akbar.
 
Back
Top Bottom