London Marathon 2019: Eliud Kipchoge aibuka mshindi

London Marathon 2019: Eliud Kipchoge aibuka mshindi

1083267

Wazungu wanacomplain ...... Eti Kenyans are Lazy😆😆😆😂
1083268
 
Tunajadiliana hapa jinsi yaku gawana Doh. ...ukifika mwisho useme.
acha kudandia trophy za watu, subiri ushinde na wewe upate.....
nimeshaghaili tayari siendi mwisho narudi nyumbani.
 
bora mimi, unahitaji maombi si bure...jiunge swimming club umsindikize Kasie next Olympic kama sio mashindano ya kanda za juu kaskazini. ....au nyanda za kati?

unifanyie maombi nipate pumzi za kuogelea basi,
 
Hivi inakuwaje hao wakimbiaji wote wana majina ya kilugha, ila huoni wenyewe majina ya kikristo au ya kiislam? ( achilia mambo ya dini).

Kiprochech, kipchoge,kosgei....is it one of the requirement Uwe na kina la kilugha?

But I like it, huwa nawaza mfano Mie ningekuwa kinara wa kuogelea kwenye mashindano at tennis, mnanisoma Kasinde from Tanzania.... Yeey.
We Achana na matusi. KIPROCHECH NI NINI HIYO
 
bora mimi, unahitaji maombi si bure...jiunge swimming club umsindikize Kasie next Olympic kama sio mashindano ya kanda za juu kaskazini. ....au nyanda za kati?

Hahahahahahaa huyo hata sitaki anisindikize ataniletea uvivu wa kufanya mazoezi yakuogelea.

Hizo kanda za kusini juu na kati ni hatari zikishika hatamu.....
 
kuongelea nahisi anajua, namwonaga kwenye bath tub na hajawahi kuzama....[emoji85][emoji85][emoji85]

Mr Miller njoo useme kama natania

Kama ikiwa na yeye ajiunge kuogelea namtosa, ila kama atakuwa mpenz mtazamaji namkaribisha sanaa.

Kwani yeye anajua kuogelea?
 
kuongelea nahisi anajua, namwonaga kwenye bath tub na hajawahi kuzama....[emoji85][emoji85][emoji85]

Mr Miller njoo useme kama natania

Hahahahhaahhahaaa atayezama kwenye bath tub atakuwa pipiro looh.

Homie unaogelea urefu wa kina gani na umbali gani? To and fro....
 
Back
Top Bottom