Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
wenye majina ya kidhungu/kiarabu hawawezi kukimbia...hao wenye asili yao ndio wamefuzu.
ujiunge kikosi cha kuogelea sasa homie...
Hapa niko baharini napiga makasia kama samaki...
Nasubiria Olymic inayokuja utasikia jina la Kasinde.