Ni kichekesho sana kuona Mwafrika baada ya miaka 50 ya uhuru bado anachekelea kupeleka pesa yake kujenga nchi za Ulaya. Kenyatta alivyoambiwa Tanzania inaweza kuanzisha miradi mikubwa kwa fedha zake za ndani, mdomo ulimwagika. Maana hajuwi aanzie wapi kubana matumizi na yeye aweze kufanya hivyo.
No explanations Centuries later.Explain how?
Are you the best that Jubilee can employ? You are an embarassmentNi hatua iliyochelewa kwa Mwafrika kuwekeza kwenye soko la hisa Ulaya, nyie na ujamaa wenu mtaendelea kuwa maskini na kuendelea kutajwa kwenye orodha za nchi LDC na pia naona mpo kwenye daftari la wanao ongoza dunia kwa kununa....full masaibu
It is not like I was expecting any good explanation from him as to how was going to happen.No explanations Centuries later.
Ni hatua iliyochelewa kwa Mwafrika kuwekeza kwenye soko la hisa Ulaya, nyie na ujamaa wenu mtaendelea kuwa maskini na kuendelea kutajwa kwenye orodha za nchi LDC na pia naona mpo kwenye daftari la wanao ongoza dunia kwa kununa....full masaibu
Ler brits taste their own medicinNi hatua iliyochelewa kwa Mwafrika kuwekeza kwenye soko la hisa Ulaya, nyie na ujamaa wenu mtaendelea kuwa maskini na kuendelea kutajwa kwenye orodha za nchi LDC na pia naona mpo kwenye daftari la wanao ongoza dunia kwa kununa....full masaibu
Explain how?
Ni hatua iliyochelewa kwa Mwafrika kuwekeza kwenye soko la hisa Ulaya, nyie na ujamaa wenu mtaendelea kuwa maskini na kuendelea kutajwa kwenye orodha za nchi LDC na pia naona mpo kwenye daftari la wanao ongoza dunia kwa kununa....full masaibu
Brother, we are thinking on ways of pulling capital to Afrika. You are talking the opposite way.
It is not like I was expecting any good explanation from him as to how was going to happen.
The same arguments they fronted against capitalism decades ago. Always distrustful- or rather paranoid of the west and their intentions.
Unajuwa nakushanaga sana unapo kenenua meno mpaka ya mwisho eti kampuni ya kizungu umekuja kufunguwa tawi kenya. Lini Kenya watafunguwa tawi huko. Nchi zilizoendelea hazijawai kuchekela wakiona wageni wanakuja kutega mitego ya pesa kwenye uchumi walio utolea jasho. Si Marekani, si Ulaya, si China wala India utaona wanawapigia makofi wageni, mgeni ukija unakuja kwa adabu zako.
Nadhani huu utata utaisha pale utakapo pata hesabu za hizo kampuni zinazo kuja Kenya wanachota pesa kiasi gani kwenda nje kupitia mwamvuli wa kununua malighafi au huduma kutoka nje. Najua hizi takwimu huna na wala hautakuja kuzipata maana zinafichwa na watu wa nyumba ya Harambe lakini ni milioni mengi yanayochangia ongezeko la uwiano wa kibiashara kati ya Kenya na mataifa ya nje.Mlishaaminishwa vitu vya kiajabu ajabu, na itawachukua muda sana kujikwamua kutoka kwa umaskini maana kama haya mawazo ulionayo ndio unawakilisha CCM yote, basi mna kazi.
Mtu utachukiaje FDI kwenye nchi, haswa kwa nchi kama yenu ambayo hamuna viwanda hata vya pipi. Cha msingi ni kuhakikisha mnakua makini kweye uwekezaji wa wageni, sio kama nyie mnaliwa migodini yote mumebaki mahandaki matupu na umaskini, na dezo dezo za Noah kwa kila Mtanzania.
haha you cant even qualify for anursery teacher in turkana countyAre you the best that Jubilee can employ? You are an embarassment