MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Ni kichekesho sana kuona Mwafrika baada ya miaka 50 ya uhuru bado anachekelea kupeleka pesa yake kujenga nchi za Ulaya. Kenyatta alivyoambiwa Tanzania inaweza kuanzisha miradi mikubwa kwa fedha zake za ndani, mdomo ulimwagika. Maana hajuwi aanzie wapi kubana matumizi na yeye aweze kufanya hivyo.
Ni hatua iliyochelewa kwa Mwafrika kuwekeza kwenye soko la hisa Ulaya, nyie na ujamaa wenu mtaendelea kuwa maskini na kuendelea kutajwa kwenye orodha za nchi LDC na pia naona mpo kwenye daftari la wanao ongoza dunia kwa kununa....full masaibu