London Stock Exchange seeks partnership with NSE

Ni kichekesho sana kuona Mwafrika baada ya miaka 50 ya uhuru bado anachekelea kupeleka pesa yake kujenga nchi za Ulaya. Kenyatta alivyoambiwa Tanzania inaweza kuanzisha miradi mikubwa kwa fedha zake za ndani, mdomo ulimwagika. Maana hajuwi aanzie wapi kubana matumizi na yeye aweze kufanya hivyo.

Ni hatua iliyochelewa kwa Mwafrika kuwekeza kwenye soko la hisa Ulaya, nyie na ujamaa wenu mtaendelea kuwa maskini na kuendelea kutajwa kwenye orodha za nchi LDC na pia naona mpo kwenye daftari la wanao ongoza dunia kwa kununa....full masaibu
 
Are you the best that Jubilee can employ? You are an embarassment
 
No explanations Centuries later.
It is not like I was expecting any good explanation from him as to how was going to happen.
The same arguments they fronted against capitalism decades ago. Always distrustful- or rather paranoid of the west and their intentions.
 
Ni hatua iliyochelewa kwa Mwafrika kuwekeza kwenye soko la hisa Ulaya, nyie na ujamaa wenu mtaendelea kuwa maskini na kuendelea kutajwa kwenye orodha za nchi LDC na pia naona mpo kwenye daftari la wanao ongoza dunia kwa kununa....full masaibu

Brother, we are thinking on ways of pulling capital to Afrika. You are talking the opposite way.
 
Ler brits taste their own medicin
 
Explain how?

LSE is massive stock market compare with NSE, they trade more than $7 billon a day. LSE gives you an access to the world but make no mistake about, if a Kenyans wants to trade in LSE, they will have to ask CBK for $$ where trade deficit is way up already. This is similar to a trader who takes hard earn cash from CBK and use it to buy lipstick from China. I see very little if any a British traders will be interested to buy Uchumi or Bamburi Cement shares. At the moment Kenya is struggling with trade deficit which stands more than $5.6billlion. At the same time thanks to cost cutting we undertake in Tanzania we've has registered trade surplus of more than $600 million.
 
Ni hatua iliyochelewa kwa Mwafrika kuwekeza kwenye soko la hisa Ulaya, nyie na ujamaa wenu mtaendelea kuwa maskini na kuendelea kutajwa kwenye orodha za nchi LDC na pia naona mpo kwenye daftari la wanao ongoza dunia kwa kununa....full masaibu

Unajuwa nakushanaga sana unapo kenenua meno mpaka ya mwisho eti kampuni ya kizungu umekuja kufunguwa tawi kenya. Lini Kenya watafunguwa tawi huko. Nchi zilizoendelea hazijawai kuchekela wakiona wageni wanakuja kutega mitego ya pesa kwenye uchumi walio utolea jasho. Si Marekani, si Ulaya, si China wala India utaona wanawapigia makofi wageni, mgeni ukija unakuja kwa adabu zako.
 
Brother, we are thinking on ways of pulling capital to Afrika. You are talking the opposite way.

Hata mimi namshangaa anavyo shangilia pesa yao kuchukuliwa kirahisi hivyo, wewe unaona JPM anavyo bana hao wazungu. Na wao wazungu ndio maana hawamuelewi JPM maana hawakuzowe waafrika kuwa na akili ya kulinda masoko yao kama vile tunavyo fanya hapa Tanzania.
 
It is not like I was expecting any good explanation from him as to how was going to happen.
The same arguments they fronted against capitalism decades ago. Always distrustful- or rather paranoid of the west and their intentions.

You've so much to learn, have you heard or read anywhere those comments?
1. Capitalism is dying.
2. America first.
3. If America will put up tariffs, we'll retaliate.
4. China is a friend of Africa, really??
 
Unajuwa nakushanaga sana unapo kenenua meno mpaka ya mwisho eti kampuni ya kizungu umekuja kufunguwa tawi kenya. Lini Kenya watafunguwa tawi huko. Nchi zilizoendelea hazijawai kuchekela wakiona wageni wanakuja kutega mitego ya pesa kwenye uchumi walio utolea jasho. Si Marekani, si Ulaya, si China wala India utaona wanawapigia makofi wageni, mgeni ukija unakuja kwa adabu zako.

Mlishaaminishwa vitu vya kiajabu ajabu, na itawachukua muda sana kujikwamua kutoka kwa umaskini maana kama haya mawazo ulionayo ndio unawakilisha CCM yote, basi mna kazi.
Mtu utachukiaje FDI kwenye nchi, haswa kwa nchi kama yenu ambayo hamuna viwanda hata vya pipi. Cha msingi ni kuhakikisha mnakua makini kweye uwekezaji wa wageni, sio kama nyie mnaliwa migodini yote mumebaki mahandaki matupu na umaskini, na dezo dezo za Noah kwa kila Mtanzania.
 
Nadhani huu utata utaisha pale utakapo pata hesabu za hizo kampuni zinazo kuja Kenya wanachota pesa kiasi gani kwenda nje kupitia mwamvuli wa kununua malighafi au huduma kutoka nje. Najua hizi takwimu huna na wala hautakuja kuzipata maana zinafichwa na watu wa nyumba ya Harambe lakini ni milioni mengi yanayochangia ongezeko la uwiano wa kibiashara kati ya Kenya na mataifa ya nje.
 
Back
Top Bottom