London: Travel Operators urged to put Tanzania on stop sale after governor's anti-gay move

London: Travel Operators urged to put Tanzania on stop sale after governor's anti-gay move

Na HKigwangalla ndio kaua kabisa kusema mashoga watakuwa DEPORTED.

Taarifa zishaanza kusambaa kama moto wa kifuu kwenye INTERNATIONAL MEDIA.

#RIPSektaYaUtalii
 
Ukoloni mambo leo. Yaani hawa wazungu wanataka tuwe waovu hata kuliko mbwa! Ukahaba wa kawaida yaani ule wa jinsia tofauti ni tatizo ambalo tayari linatutosha na linatuumiza vya kutosha. Hatutaki kuongeza tatizo kubwa zaidi. Hii laana wabaki nayo kuko kwao wasituletee huku. Serikali na ikanyagie hapo hapo.
 
Vitu vingine ni kutotumia akili tu. Wana attract attention bila sababu yoyote. Hivi vitu unaweza kivifanya kimya kimya na matokeo yake yakawa mazuri kuliko kupayuka payuka ovyo.

Ni kweli ndugu, tumeanzisha vita dhidi ya jumuiya za kimataifa, tayari tuna mgogoro na IMF, World bank, jana tumefukuza balozi wa EU ! hawa watu wasiotumia common sense wanaligharimu taifa, We need to restore sanity in our politics.
 
Kama ni kusimama Na maadili Mungu atasimama Na taifa pumbafu wakubwa watokomee kuzimu Na ushoga Na usagaji wao to hell with them and their money
 
Na HKigwangalla ndio kaua kabisa kusema mashoga watakuwa DEPORTED.

Taarifa zishaanza kusambaa kama moto wa kifuu kwenye INTERNATIONAL MEDIA.

#RIPSektaYaUtalii
Huko twitter watu walimuonya kuwa yeye ni waziri hakustahili kuandika ile comment, nchi zingine zitachukulia kama official statement.
 
Ukoloni mambo leo. Yaani hawa wazungu wanataka tuwe waovu hata kuliko mbwa! Ukahaba wa kawaida yaani ule wa jinsia tofauti ni tatizo ambalo tayari linatutosha na linatuumiza vya kutosha. Hatutaki kuongeza tatizo kubwa zaidi. Hii laana wabaki nayo kuko kwao wasituletee huku. Serikali na ikanyagie hapo hapo.
ongelea utekaji katiba mpya wasiojulikana kupiga risasi wasio na hatia kuficha kina MO hilo la ushoga ulizaneni wenyewe na naiburahisi wenyu
 
Naibu rais kazungumza ndio msimamo wa rais na serikali yake
"..sisi ni donar country hatutishwi.." -Jiwe.
"Watanzania tembeeni vifua mbereee tena mkiwa mmevua mashati Mpate nimonia"
 
ongelea utekaji katiba mpya wasiojulikana kupiga risasi wasio na hatia kuficha kina MO hilo la ushoga ulizaneni wenyewe na naiburahisi wenyu
Mkuu, niko kinyume kabisa na hayo yote uliyoyataja. Kiukweli ninayakosoa sana. Lakini pamoja na kuyakosoa hayo, ili la ushoga sitaliacha kulikosoa hata kidogo.
 
A London agent Nick Harding-McKay, owner of Balham-based Travel Designers, has written to his supplier partners asking them to avoid selling the east African country “while such threats to a large section of the community are in place by their government”.

He also added that the governor’s announcement could pose a threat to tourists in the area.

Harding-McKay’s plea followed the news that Paul Makonda, governor of the country’s economic capital Dar es Salaam, told reporters round-ups of gay people would begin in the next week.

Makonda said a surveillance team would also scrutinise social media in order to track down and arrest people who are in same sex couples.

"Give me their names," Makonda was reported as saying by AFP news agency. "My ad hoc team will begin to get their hands on them next Monday."

Anti-LGBT rhetoric has been growing in Tanzania since President John Magufuli took office in 2015.

Makonda, who BBC News described as a “staunch ally” of the president, admitted he expected criticism from the international community over the move, but said: “I prefer to anger those countries than to anger God.”

Harding-McKay said he was still waiting to hear back from most supplier partners, but Andy Freeth, chief executive of If Only replied to say that while the operator did not currently sell Tanzania, the “awful comments” of the governor meant it would “not be featured though If Only anytime soon” unless the situation “dramatically changed”.

A spokesperson for the Tanzania Tourism Organisation, which is a private sector initiative, said: “It is hugely disappointing to hear of any type of prejudice, anywhere in the world.

"We are not fully aware of the legislation or of the actions being undertaken, at present. But the tourism industry is a key contributor to GDP in Tanzania, therefore I would anticipate that the entire tourism industry in the country will want to urgently debate this with the government and act accordingly”.

Agent urges operators to avoid Tanzania after witch-hunt of gay people announced

My Take: Maamuzi yetu japo mazuri lkn yatainufaisha Kenya kwenye sekta ya Utalii.
Kwa hiyo tuukubali ushoga uwe rasmi hapa Tanzania?
 
Mkuu, niko kinyume kabisa na hayo yote uliyoyataja. Kiukweli ninayakosoa sana. Lakini pamoja na kuyakosoa hayo, ili la ushoga sitaliacha kulikosoa hata kidogo.
kwani we shoga au mumeo
 
Back
Top Bottom