London: Travel Operators urged to put Tanzania on stop sale after governor's anti-gay move

London: Travel Operators urged to put Tanzania on stop sale after governor's anti-gay move

kwani we shoga au mumeo
Mimi na ushoga ni maadui wakubwa sana. Kwahiyo ushoga nitaupiga vita tu. Wewe kama ni kitu unachokipenda endelea nacho. Lakini siku ukitiwa kwenye mikono ya dola ndipo utakapojua unachokifanya ni upumbavu tena ni laana kubwa.
 
Hawa wezi kufanya lolote walahi
Vishoga vitapigana na mito baadae vita choka tu walahi
Walevi na watumiaji unga, ni ma addicts, madishi yameyumba walahi
Walahi
 
Wazungu wanautukuza sana ushoga.
Wazungu wanatukuza kila mtu ana haki ya kufanya kile anachokipenda..

Wazungu wamesoma kutokana na makosa yao, walianza kuwauwa mashoga, wakawauwa Mayahudi, wakaja kwa wakomunisti, wakenda kwa wamarekani weusi,, mwishowe wakaona kuwa haisaidii chochote kuwasaka na kuwauwa watu hao.. Isipokuwa inaleta balaa na mashaka kwenye nchi zao..

Kwaufupi kila mtu ana haki ya kuishi kwa kile wanachokiamini na kukipenda
 
Tunamtukuza mungu kwa hili la ushoga tu,lakini siyo kumtafuta mtekaji na muuaji,hapo mungu hatishi?
 
Ukoloni mambo leo. Yaani hawa wazungu wanataka tuwe waovu hata kuliko mbwa! Ukahaba wa kawaida yaani ule wa jinsia tofauti ni tatizo ambalo tayari linatutosha na linatuumiza vya kutosha. Hatutaki kuongeza tatizo kubwa zaidi. Hii laana wabaki nayo kuko kwao wasituletee huku. Serikali na ikanyagie hapo hapo.
Umeona ushoga ni uovu mkubwa kuliko kuuana wenyewe kwa wenyewe, kupingana risasi hadharani, kutekana.
 
Vitu vingine ni kutotumia akili tu. Wana attract attention bila sababu yoyote. Hivi vitu unaweza kivifanya kimya kimya na matokeo yake yakawa mazuri kuliko kupayuka payuka ovyo.
Nakubaliana na wewe 100%, hawa jamaa wana ushawishi mkubwa kwao huko na ni sehemu ya siasa zao. kwani kama kweli tuko serious tungetumia sheria zetu kubana mitandao katika haya mambo ya aibu maana ukweli hatuka power kuzuia tabia hii hata Mungu alilaani kitu hii lakini yalikuwepo toka enzi za mitume. tusianzishe vita tukijuwa mshindi ni mmoja tu na huyo ni wao. tungeonesha umakini BLOCK SITES ZOTE ZA NGONO kwanza.
 
Umeona ushoga ni uovu mkubwa kuliko kuuana wenyewe kwa wenyewe, kupingana risasi hadharani, kutekana.
Hapana mkuu, hayo uliyoyataja ni mabaya sana sawa na ushoga tu. Huwezi ukahalalisha uonevu na umwagaji wa damu zisizo na hatia kisa tu unapambana na ushoga.
 
Makonda kwenye form failure and overall school zero.
Anasababisha jamii nzima itaabike kisa tu ana bigu na mashoga wenzake?
Yeye na hips zake mbona hasumbuliwi?

Kuna vitu vingine vipo kwenye jamii kama uumbaji na gene.

Ili mradi wasivuke mipaka ila sio mambo ya ku ya promote ili kujichukulia maujiko ya kisiasa.

Sasa makonda udhalimu anaowafanyia wabaya wake na wapinzani ana tofauti gani na Mashoga?
 
Kwa hiyo tuukubali ushoga uwe rasmi hapa Tanzania?
Hapana tabia ya ushoga tusikubali kabisa katika jamii yetu kabisa lakini sio kuwakamata wazi maana hawa jamaa wana umoja wa hali ya juu sana na wana power kubwa huko west. tuweke sheria kali tu lakini hawa mashoga hawako peke yao ina maana wana wateja na hilo ndio tatizo. tuweke sheria tuwabane wote ila sio tena katika media kama tunatangaza vita huko hawawezi kutuacha salama. najuwa kuna watu watasema we don't care lakini ukweli madhara ni makubwa sana tuwe makini.
 
Yaani wazungu wangekuwa wananunua bidhaa toka kwetu kwa wingi leo wangefunga kila kitu.
Sasa naona watajipanga kwenye mashirika ya ndege na watalii watapungua sana.

Hii vita ya sio mchezo kwa kuwa wao wanalikubali na mabunge mengi ulaya wengi wa wabunge ni mchele

Hapa RC angetumia njia zingine kuliko kuwatangazia umma.
Nchi zingine zinanyonga lakini kimya kimya
 
Mimi na ushoga ni maadui wakubwa sana. Kwahiyo ushoga nitaupiga vita tu. Wewe kama ni kitu unachokipenda endelea nacho. Lakini siku ukitiwa kwenye mikono ya dola ndipo utakapojua unachokifanya ni upumbavu tena ni laana kubwa.
hovyooo[emoji216] [emoji196] [emoji217]

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mimi na ushoga ni maadui wakubwa sana. Kwahiyo ushoga nitaupiga vita tu. Wewe kama ni kitu unachokipenda endelea nacho. Lakini siku ukitiwa kwenye mikono ya dola ndipo utakapojua unachokifanya ni upumbavu tena ni laana kubwa.
acheni kupokea misaada ya mashoga tuone kama mtasavaivu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
acheni kupokea misaada ya mashoga tuone kama mtasavaivu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Wewe ni makumaku kabisa, hizo nchi wanazotoa misaada ni kodi za mpaka wanaopinga huo usenge wenu, pia huku tunakopokea misaada na kupinga huu usenge wenu mpo mnao support kwa kasi ya mwendo. Manina
 
Watetezi Wa ushoga...chadema mnatisha
FB_IMG_1541244865945.jpg
 
Back
Top Bottom