Lonely Me...... Nimefiwa na baba yangu

Pole sana Buji...msiba utakuwa wapi ili nione kama naweza kuja...
 
Pole sana mpendwa. Mungu akutangulie katika safari yako akujaze nguvu, akujaze faraja na matumaini pia. Tufikishie pole zetu ufikapo tupo nanyi katika hili kwa maombi.
 
Mkuu, hakika uko kwny wakti mgumu sana.
Jikaze kiume mkuu, na usafiri ukampumzishe mzee wako.
Mungu atawalaye sasa na akufariji, na akuvushe salama kwenye kadhia hii. Tuko pamoja sana.
 
pole sana Bujibuji,mimi ni shabiki wa post zako hapa JF!
 
pole sana mkuu, wote watakuacha lakini JF ipo kwa ajili yako.
 
pole mkuu, jipe moyo na ufanye yakupasayo ktk hilo.
 

amen.....
 
Pole sana Buji, Mwenyezi Mungu akupeni subira katika kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana mkuu.
Mungu akutie nguvu, na kwake yeye ukapate kuuona ukuu wake.
 
kaka pole sana, yeye katangulia mbinguni kwenye raha,pasipo na mateso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…