Lonely Me...... Nimefiwa na baba yangu

Lonely Me...... Nimefiwa na baba yangu

Pole sana Bujibuji...rip baba mdogo.
 
mungu alitoa na ametwaa,jina lake litukuzwe.yeye muweza akutie nguvu hasa katika kipindi hiki kigumu.amina.
 
Pole sana Buji....wewe ulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi....sote tu njia moja......roho yake ilale mahali pema peponi

Chanzo cha kifo ni nini au siri ya wafiwa? Lakini pole sana yote ni mipango ya Sir God.
 
Pole Mkuu Bujibuji Ufike Salama Kapumzike ujiandae na Safari Laa Kucha mmbe. Usisahau kutuletea na Kweme Ukiwa unarejea.
RIP Baba Mdogo
 
Pole sana Bujibuji, Mungu awape nguvu katika kipindi hiki cha majonzi na Ailaze roho ya baba yetu mahali pema peponi
 
Pole sana buji.. May his soul rest in peace. You wont ever be lonely as long as you have us..
 
Aisee....Pole sana Mkuu Bujibuji....Mungu amlaze mahali pema peponi Amen...
 
Wenzangu wana JF, nasikitika kuwajulisha kuwa nimefiwa na baba yangu mdogo, ambaye tulikuwa tumeshibana naye sana, na alikuwa ndiye baba yangu pekee aliyenijali na kunitunza tangu alipofariki baba yangu mzazi.
Nimeachwa mpweke sana, na kesho natarajia kwenda Usukumani kwa ajili ya maziko.
Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu.

Pole sana mkubwa tuko pamoja katika kipindi hichi kigumu.
 
Pole sana Mkuu!
Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Nimauombea baba yako malazi mema na nyinyi wafiwa ninawaombeeni muwe na subira hasa katika kipindi hiki kizito.
 
Wenzangu wana JF, nasikitika kuwajulisha kuwa nimefiwa na baba yangu mdogo, ambaye tulikuwa tumeshibana naye sana, na alikuwa ndiye baba yangu pekee aliyenijali na kunitunza tangu alipofariki baba yangu mzazi.
Nimeachwa mpweke sana, na kesho natarajia kwenda Usukumani kwa ajili ya maziko.
Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu.

Pole sana naomba Mungu akupe nguvu.
 
hizi rangi zinanichanganya....tazama ya faiza na ya kwetu wengine
wote premium but rangi tofauti..nini maana yake?

Hujui kama FF ni Selebriti? ngoja nawe uwe selebriti utapambwa! lol. Hlafu wewe unachangia na TZS wengine tunamwaga Rial Oman, unanchekesha!
 
BjBj pole saana na Msiba... Mwenyezi
Mungu akupatie Imani na Amani.

Be Blessed
 
Wenzangu wana JF, nasikitika kuwajulisha kuwa nimefiwa na baba yangu mdogo, ambaye tulikuwa tumeshibana naye sana, na alikuwa ndiye baba yangu pekee aliyenijali na kunitunza tangu alipofariki baba yangu mzazi.
Nimeachwa mpweke sana, na kesho natarajia kwenda Usukumani kwa ajili ya maziko.
Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu.

Mkuu, pole sana. Mungu akupe nguvu na akufariji katika wakati huu mgumu.

Pole sana Mkuu
 
Pole sana, Mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu sana
 
Mkubwa!! Pole sana! Baba mdogo hakika ametutangulia mbele ya haki,Rest In Peace! Ameeeenn!!
 
Back
Top Bottom