Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzangu wana JF, nasikitika kuwajulisha kuwa nimefiwa na baba yangu mdogo, ambaye tulikuwa tumeshibana naye sana, na alikuwa ndiye baba yangu pekee aliyenijali na kunitunza tangu alipofariki baba yangu mzazi.
Nimeachwa mpweke sana, na kesho natarajia kwenda Usukumani kwa ajili ya maziko.
Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu.
pamoja!! how?!Pole sana mkuu,tuko pamoja kwenye kwenye kipindi hiki kigumu cha majonzi.
buji mwaya pole sana mpendwa,dog gvz an god taks jinalake libarikiwe!