Lonely Me...... Nimefiwa na baba yangu

Pole sana sana Mkuu
Mungu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi
 
daaa, Pole sana Mungu ailaze roho ya marehemu pema pepono. amen, sote ndio njia yetu.
 
Pole sana Bujibuji mwenyezi mungu awape nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu
Sote Tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi
Amen
 
Pole kwa msiba Bujibuji, Banhu tulibadoto nakale.
 
Mungu wa faraja na awafariji wafiwa wote.

Pole sana borther
 
kibinadamu nakupa pole ila kazi ya Mungu haina makosa wewe ulimpenda ila Mungu kampenda zaidi,bwana ametoa na ametwaa jina lake lihimidiwe.
Wht u nid to do now is to think of umejiandaaje siku yako ikifika yeye ashamaliza kitabu chake kimefungwa ila chako ki wazi.
Pia kumbuka kila nafsi itaonja mauti, safe safari na mzike salama
 
Pole sana Bujibuji. Mungu awezaye yote akupeni ustahimilivu katika kipindi hiki kigumu. May his soul rest in eternal peace, Amen.
 
Dah pole sana ................misiba kama hiyo we acha nakumbuka mbali sana,lakini wote tunapita katika hii dunia.bt ur father katangulia tu.
 
Pole sana. Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi (RIP)
 
Pole sana bujibuji

 
buji pole sie tupo huku usukumani usije pata tabu kama vip elezea wapi tukupe msaada...kama unahitajika ...
thts how JF lives..pole sana RIP baba mdogo
 
buji pole sie tupo huku usukumani usije pata tabu kama vip elezea wapi tukupe msaada...kama unahitajika ...<BR>&nbsp;thts how JF lives..pole sana RIP baba mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…