"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Ngoja nimwambie nayeye akizidiwa apige selfie kidogo aisee, maana kumegewa kusikie tuu. Naona ananitumia sms za kunimiss sana hadi naogopa.
Kiuhalisia ndoa za remote hazidumu. Wekeni mambo yenu sawa muwe pamoja kama mnapendana. Lakini kadri mnavyozidi kulala maeneo tofauti ndio ndoa yenu inakufa kifo cha cancer. Baada ya miaka mitatu itakuwa imekufa mtajikuta mna ndoa 3 in 1. Moja kwa ajili ya uzazi kama ng'ombe na nyingine kwa ajili ya mapenzi ya dhati na kufurahia maisha ya dunia. Utapima mwenyewe ipi itakuwa na nguvu
 
Lakini babu mbona wanaume wanatongozaga mpaka wajawazito
 
💯
 
Mkuu sio kwa kupenda ila ni katika harakati za kutafuta life mnajikua mpo mbali mbali.
 
Lakini babu mbona wanaume wanatongozaga mpaka wajawazito
Ni kweli hili hufanyika japo sio sawa na ukiwa hauna ujauzito.

Lakini pia ushiriki wa ngono na Mama mjamzito na asiye na ujauzito huwa ni tofauti.

Walau akiwa mjamzito huwa Kuna kuwa na kahuruma fulani hivyo baadhi ya mitindo huachwa.

Ila akiwa hana ujauzito, Vijana wa hovyo hutaka kusikia harufu ya mishikaki wanasema
 
Babu ungemshauri Nini mwanamke anayepanga kuolewa Na mwanaume aliyemzidi kipato
 
It has been 11 years,,,,,
Tutakutana wakati wa likizo tu,,,, na kuna wakati inapita hadi miaka 2.
Ups and down zipo,,,,, ila commitment ndio kitu kikubwa.
Huyo ni mke au mchumba? Yaani una mahusiano ya kukutana kila baada ya miaka miwili, hasira za mwili unazipeleka wapi? I can never do that.
 
Kila akija wewe ni kutoboka mfuko tu, huko ujanani tulikuwa na mambo ya hivyo, hayana afya mkuu labda ubahatike tu.
Mkuu acha tuu, ukiwa financially stable haina shida sasa hapa bado najitafuta, ninavyoandika hapa yupo arusha kwao katoka dar last week lengo lake anifate mwanza kunisalimia nikiangalia bado mambo hayajakaa sawa akija atachoma mtaji yani nawaza acha kabis. Nimem'miss sana na ninatamani aje ila ndio hivyo, ashaanza kulalamika hapa anadai nishapata mtu mwingine.
 
Mkuu sio kwa kupenda ila ni katika harakati za kutafuta life mnajikua mpo mbali mbali.
Hata kama mnatafuta ila weka akilini ndoa za remote hazidumu. Vinginevyo kubali kuwa haina makombo kama ulivyosema. Mkeo ni binadamu na wewe ni binadamu mnaohitaji kutulizwa kingono kila mwezi.

Lazima muwe na future plan lini distance marriage itaisha. Usitarajie mtakaa miaka kuanzia miwli na zaidi mkabaki salama. Ukweli lazima usemwe ili upone. Hakuna mwaminifu nyege zikianza kuusumbua mwili. Na mkianza kuchepuka ni sawa na kula nyama ya mtu. Vipi wewe kwa upande wako, huna sehemu ya kumwaga oil tofauti na aliye mbali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…