"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Ukimua Dejane inabidi uwe karibu mda wote hata ukienda kununua vocha dukani uwahi kurudi nyumbani aisee. Utapumzika siku akiugua labda.
 
Real kabisa alafu ishu ya sex ni fikra mm naona Zaidi ukiweka mawazo sana hapo hata sikumoja kulala pekeyako utaona mwaka ni kupotezea tu japo kuna muda mwili ndio huamua Zaid hiki kipind ndo kigumu akili Huwa haitaki Tena 😀😀
Ni mwendo wa kucheka Cheka ovyo tu🤣🤣🤣
Na makasiriko Kwa kwenda mbele
 
Yalichonitenda Mungu mwenyewe anajua, jamaa nilidumu nae miaka mitano sikuwahi kumsaliti ila alichonilipa najua mwenyewe kidogo nipelekwe milembe ila nikapelekwa kwa Mwamposa mpaka sasa huyo mjinga amenifanya kuwa single mother wa mtoto ambaye baba yake sikuwahi kumpenda ila nilienda kwake kama kupunguza machungu nikaambulia mtoto. hila yule mb*a popote alipo Mungu amlinde tu make nilimuona mungu mtu nikaambulia kuona picha za harusi mtandaoni.
Duuuh ila mahusiano,, pole mamii
 
Back
Top Bottom