Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
- Thread starter
- #341
Mkuu na wewe upo kwenye long distance relationship nini.Ila wewe umetoa matumaini sana ndio maana we ndio namba moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu na wewe upo kwenye long distance relationship nini.Ila wewe umetoa matumaini sana ndio maana we ndio namba moja
Yeah matumaini kuwa inawezekana, isitoshe nimeyaishi mahusiano ya mbaliIla wewe umetoa matumaini sana ndio maana we ndio namba moja
Ngoja aje bibi yetu.Huyo FaizaFoxy jua la jioni mtoe kwenye list
Nakubali mkuu umeniambia ukweli mtupu.Wala huwezi fanya ngono kila mara kama huna kazi zingine ila kuna muda ukishakaa sana mwili unaamua
Mna moyo wenu tu, Mungu awalinde.Tunakaribia mwaka, nampenda sana.
Nina furaha na amani, kikubwa ni mawasiliano imara basi.
Na makasiriko Kwa kwenda mbeleReal kabisa alafu ishu ya sex ni fikra mm naona Zaidi ukiweka mawazo sana hapo hata sikumoja kulala pekeyako utaona mwaka ni kupotezea tu japo kuna muda mwili ndio huamua Zaid hiki kipind ndo kigumu akili Huwa haitaki Tena 😀😀
Ni mwendo wa kucheka Cheka ovyo tu🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂Ilidumu mpaka pale aliponiambia nimtumie suti kwa ajili ya kaka yake kuolea na mimi nikatuma kuja kugundua ilikuwa ni suti ya bwana harusi anaemuoa yeye, kuvaa siku ya ndoa yao.
Vipi kuhusu mimi😢jana tu umesema tupo kwenye dunia yetu pekeeNiko single mkuu huu mwaka wa 2 sasa, nitashea mawazo nikitulia mkuu
Inaonekana ushakutana nao wengi na wamekutenda. Kumbe una bahati mbaya kuwa na mahusiano na mbwa.Dah pole sana mkuu, wanaume wote ni UMBWA
Duuuh ila mahusiano,, pole mamiiYalichonitenda Mungu mwenyewe anajua, jamaa nilidumu nae miaka mitano sikuwahi kumsaliti ila alichonilipa najua mwenyewe kidogo nipelekwe milembe ila nikapelekwa kwa Mwamposa mpaka sasa huyo mjinga amenifanya kuwa single mother wa mtoto ambaye baba yake sikuwahi kumpenda ila nilienda kwake kama kupunguza machungu nikaambulia mtoto. hila yule mb*a popote alipo Mungu amlinde tu make nilimuona mungu mtu nikaambulia kuona picha za harusi mtandaoni.
Bora niwe nao mimi ila yeye asiwe nao aiseeYanawezekana kama una mpango wa kando 😅
😂😂😂Yanawezekana kama una mpango wa kando 😅
We kuja geto hutakiVipi kuhusu mimi😢jana tu umesema tupo kwenye dunia yetu pekee
Kama ana malengo unakuwa nae hvy hvy huku unatafuta kijana wako wa kukupelekea moto tuu cha msingi awe salama tuu.Eh, sio unaota kitu kilichombali kisa nini??