Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
- Thread starter
-
- #321
DahNi kweli hili hufanyika japo sio sawa na ukiwa hauna ujauzito.
Lakini pia ushiriki wa ngono na Mama mjamzito na asiye na ujauzito huwa ni tofauti.
Walau akiwa mjamzito huwa Kuna kuwa na kahuruma fulani hivyo baadhi ya mitindo huachwa.
Ila akiwa hana ujauzito, Vijana wa hovyo hutaka kusikia harufu ya mishikaki wanasema
Mkuu sio mke ni manzi yangu tuu sema tuna malengo.Hata kama mnatafuta ila weka akilini ndoa za remote hazidumu. Vinginevyo kubali kuwa haina makombo kama ulivyosema. Mkeo ni binadamu na wewe ni binadamu mnaohitaji kutulizwa kingono kila mwezi.
Lazima muwe na future plan lini distance marriage itaisha. Usitarajie mtakaa miaka kuanzia miwli na zaidi mkabaki salama. Ukweli lazima usemwe ili upone. Hakuna mwaminifu nyege zikianza kuusumbua mwili. Na mkianza kuchepuka ni sawa na kula nyama ya mtu. Vipi wewe kwa upande wako, huna sehemu ya kumwaga oil tofauti na aliye mbali?
Mfumo wa tembo mnakutana baada ya miaka miwili wakati wa kutafuta mtoto mwingineHuyo ni mke au mchumba? Yaani una mahusiano ya kukutana kila baada ya miaka miwili, hasira za mwili unazipeleka wapi? I can never do that.
Huyo tunajisumbua kumbe. Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.Mkuu sio mke ni manzi yangu tuu sema tuna malengo.
Nafanya mpango aje nilipo.Huyo tunajisumbua kumbe. Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.
Mpenzi na mpenzi sema bond kali.Kila kitu kinawezekana mkuu , ,,tena hayo ndo mazuri lakini unaamnisha mke na mume au mpenzi na mpenzi
11 years? Wewe umeliwa ,It has been 11 years,,,,,
Tutakutana wakati wa likizo tu,,,, na kuna wakati inapita hadi miaka 2.
Ups and down zipo,,,,, ila commitment ndio kitu kikubwa.
I like you, unaonekana mtu positive sana hongera sanaTunakaribia mwaka, nampenda sana.
Nina furaha na amani, kikubwa ni mawasiliano imara basi.
Huyo FaizaFoxy jua la jioni mtoe kwenye list
Eh, sio unaota kitu kilichombali kisa nini??Hapa kazi tuu mpaka iwake moto au siyo 😂
Hafai kabisa.Huyo Mzee anawavuruga vijana na mapenzi yao ya mbali
Ila wewe umetoa matumaini sana ndio maana we ndio namba mojaHuyo Mzee anawavuruga vijana na mapenzi yao ya mbali
Safi sana.Miaka mitatu akiwa Chuoni. Alivyorudi tu sikuremba mwandiko Yani kitu na box
Nakubali.Mi ni mke mwema kwa mume wangu nyie ni mengineyo😅😅😅