"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Ni kweli hili hufanyika japo sio sawa na ukiwa hauna ujauzito.

Lakini pia ushiriki wa ngono na Mama mjamzito na asiye na ujauzito huwa ni tofauti.

Walau akiwa mjamzito huwa Kuna kuwa na kahuruma fulani hivyo baadhi ya mitindo huachwa.

Ila akiwa hana ujauzito, Vijana wa hovyo hutaka kusikia harufu ya mishikaki wanasema
Dah
 
Hata kama mnatafuta ila weka akilini ndoa za remote hazidumu. Vinginevyo kubali kuwa haina makombo kama ulivyosema. Mkeo ni binadamu na wewe ni binadamu mnaohitaji kutulizwa kingono kila mwezi.

Lazima muwe na future plan lini distance marriage itaisha. Usitarajie mtakaa miaka kuanzia miwli na zaidi mkabaki salama. Ukweli lazima usemwe ili upone. Hakuna mwaminifu nyege zikianza kuusumbua mwili. Na mkianza kuchepuka ni sawa na kula nyama ya mtu. Vipi wewe kwa upande wako, huna sehemu ya kumwaga oil tofauti na aliye mbali?
Mkuu sio mke ni manzi yangu tuu sema tuna malengo.
 
Kila kitu kinawezekana mkuu , ,,tena hayo ndo mazuri lakini unaamnisha mke na mume au mpenzi na mpenzi
 
Back
Top Bottom