"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Mkuu yani miaka minne mnakua mnafanya nini bila kuonana? Mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu, mpaka wa nne?

Hebu nielekezeni jamani nahisi mimi kuna sehemu nakosea.
Ni enzi za covid hizo mkuu halafu bora ilikuwa mabara tofauti, watu hawaonani miaka 2-3 wapo dar na mwanza, dar -bk hawa ndo watwambie nini kinawasibu
 
Back
Top Bottom