Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Ngoja nimwambie nayeye akizidiwa apige selfie kidogo aisee, maana kumegewa kusikie tuu. Naona ananitumia sms za kunimiss sana hadi naogopa.
Mtu mzima atajiongeza aidha apige selfie au amtunuku mwamba huko so long as wewe hujui. Fimbo ya mbali haiui nyoka.