Ngoja nimwambie nayeye akizidiwa apige selfie kidogo aisee, maana kumegewa kusikie tuu. Naona ananitumia sms za kunimiss sana hadi naogopa.
Mimi ni mkristo. ALafu mke wangu tumetoka mbali sana toka tunasoma advanced hadi chuo na ana upendo hasa yaani angejuwa ingekuwa maafa.Ungeoa mke wa pili mkuu uzidi kufaidi mema ya nchi.
Ukweli wa mambo, mimi nilidumu nae 4 yrs na siku tunaachana tuliridhia.Kila kitu kinawezekana, zingatia mawasiliano ya karibu tu ukiona ameanza/umeanza kupunguza simu ama kuchat ujue kuna mtu wa 3 anaingia hapo,
Ni enzi za covid hizo mkuu halafu bora ilikuwa mabara tofauti, watu hawaonani miaka 2-3 wapo dar na mwanza, dar -bk hawa ndo watwambie nini kinawasibuMkuu yani miaka minne mnakua mnafanya nini bila kuonana? Mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu, mpaka wa nne?
Hebu nielekezeni jamani nahisi mimi kuna sehemu nakosea.
Ni boya tuu akinasa kazi anayo.Kama anaichapa mbunye ya mtu wako bc huyo hawezi kuwa boya mana anakula unapokula ww
Mlijitahidi kuna wazee wamekiri kushindwa humu😅😅Ukweli wa mambo, mimi nilidumu nae 4 yrs na siku tunaachana tuliridhia.
Unajua kuna umri hutakiwi kujibana kuhusu mizagamuo mwili unakuwa unahitaji
Mkuu mimi nimeoa na nina watoto na ndoa inaelekea miaka kumi. Jaribu kufikiria wife anajuwa kuwa kuna mambo hayo ya udangnyifu...Ukweli bado nampenda wife.Sasa ulilia nini, mkuu? Mbona kama ulikua unafaidi?
Mkuu mimi nimeoa na nina watoto na ndoa inaelekea miaka kumi. Jaribu kufikiria wife anajuwa kuwa kuna mambo hayo ya udangnyifu...Ukweli bado nampenda wife.
Angekuwa boya asingeipiga mbunye iliyo mali yakoNi boya tuu akinasa kazi anayo.
Mkuu unanipigia nini?Angekuwa boya asingeipiga mbunye iliyo mali yakoi
Miaka miwili bila mkuyenge mkuu?Mahusiano ya mbali ni kitu kimenishinda niwe mkweli. Miaka 2 ndio angalau nilijitahidi lkn baada ya hapo hapana siwezi kabisa.
Tulijitahidi sana na mpaka tunaachana sikuwahi kuona redflag yeyote.Mlijitahidi kuna wazee wamekiri kushindwa humu😅😅
😎Mahusiano ya mbali ni kitu kimenishinda niwe mkweli. Miaka 2 ndio angalau nilijitahidi lkn baada ya hapo hapana siwezi kabisa.
wengi yanawashinda wakiwa huko huko mbali mbali kwanini nyie mlishindwana baada ya kukutana?Tulijitahidi sana na mpaka tunaachana sikuwahi kuona redflag yeyote.
Tulionana kama mara 4 hivi hapo ugomvi kila leo tunaachana na kurudiana karibu mara tatu nikaona isiwe kesi wacha nikae pembeni.Miaka miwili bila mkuyenge mkuu?
Bambo dzako
Miaka minne 🤣🤣🤣🤣🤣 hapa panahitaji tuzo ya nobel.4 yrs bila kuonana! Ilinisaidia kuvumilia kuishi na genye, kikubwa mawasiliano imara yakiyumba na penzi linakufa hasa kama hamjarasmisha