"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Dah pole inauma sana, ila likuepukalo lina heri angekuoa huenda msingedumu au angekupiga matukio makubwa zaidi ya hapo
 
Nimewahi kuwa na long distance relationship iliyodumu miaka 1,2 hadi 3

Nilichogundua pamoja na kuwasiliana Kwa simu wakati mwingine kutumiana nudes lakini haisaidii kitu.

Yaani utaishia kumtia nyege binti wa watu huko alipo kisha kujikuta akimtunuku jamaa mwingine ili kushusha nyege ulizompandisha Kwa video calls ama sex chat

Ndiyo maana sisi Wazee tulikuja na msemo wa "Fimbo ya mbali haiui Nyoka"
 
Babu naona unapigilia msumali wa mwisho kwenye jeneza sasa, mimi na mkwe wako tunapendana aisee😁
 
Kupunguza machungu au kupunguza genye?
 
Nakubali mkuu, ila issue ya genye huwa mnapambana nayo vipi? Maana dah
Hapo ndipo kipengele, siwezi mzungumzia yeye ila mimi nilitoboa, selfie zilihusika kuokoa jahazi, pia niliona km mwanzoni hasa ule mwaka 1 ndo mwili ulikuwa una genye sana baada ya kupita huo muda mwili unapoa genye zinakuja ila sio kwa nguvu sana,

Inataka uikane nafsi yako kama Yesu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…