Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Anajitahidi kutoonekana mnyonge humu ๐๐๐๐Mbona katiririka apo chini kwa girl wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajitahidi kutoonekana mnyonge humu ๐๐๐๐Mbona katiririka apo chini kwa girl wake
Basi๐ ila jamaa kafurahi kuskia hii ๐, naenda kuwaita familiaUsiingilie mapenzi yeti buns heee
Yaani anatokwaga na jasho hadi nyayo๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Gifted anakusubri huko๐๐Basi๐ ila jamaa kafurahi kuskia hii ๐, naenda kuwaita familia
Amor kaniboa kuingilia love yetu๐Anajitahidi kutoonekana mnyonge humu ๐๐๐๐
Food usicheke hapa naitaji nauli ya kwendea interviewMkuu huku mbeya sijui kumekaaje hakuna hata mishangazi aisee
Hapo ndio umesemaje?? ๐คฃ๐คฃLamomy moooo momemooo how are you
Nakupenda pia baby wangu nkwmbie kitu nmeishiwa pesa ya matumiz uliyoniachiaUkumbuke ww kwangu ni diesel, Ferrari Siwezi tembea bila wewe,
uombapo dua zako , nikumbuke na mimi kipenz changu,
Usishangae nipo kimya, najua hadi jina unalishangaa,
Mti wenye matunda nilipondwa mawe,
Lakini sikukusaliti mpenzi...
I love ๐ you, you are my require
Mwanza mbali mkuu ngoja nivizie limoja hapa hapa mbeyaNjoo mwanza niyakuzoa mzee.
Mapenzi yanarun dunia.Hii thread imetembeaaa sio poa page ya 36 duuh sio poa
Nipo vizuri shem, chunga japokuw me cpitag na mashemejMbona katiririka apo chini kwa girl wake
Kwamba cas Ana familia siwez kumuacha I love himBasi๐ ila jamaa kafurahi kuskia hii ๐, naenda kuwaita familia
Tatizo mashangazi ya mbeya hayana T3 yapo kama mapipa.Mwanza mbali mkuu ngoja nivizie limoja hapa hapa mbeya
Nipo vizuri shem, chunga japokuw me cpitag na mashemeMbona katiririka apo chini kwa girl wake
Mke wangu huyo๐ akionekana leo hadi mwezi ujao, hapa penyewe kanitag imekuw kama bahat nipo online ๐Gifted anakusubri huko๐๐
Aiii umenitoa jino, nakusema kwa Gifted girlUsijali ngoja nimzabue asirudie tena we Food wewe ๐๐๐
Ulishimdwa kupiga panga? Yeye mwanamkeIlidumu mpaka pale aliponiambia nimtumie suti kwa ajili ya kaka yake kuolea na mimi nikatuma kuja kugundua ilikuwa ni suti ya bwana harusi anaemuoa yeye, kuvaa siku ya ndoa yao.