Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Na watakatifu tuwe bado na utakatifu, huu huu 🤣🤣🤣ikiwa kinyume chake sasa, watoto wa mama mkwe hawaaminiki ujueUtabiri: huu uzi utaishi miaka mingi sana humu JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na watakatifu tuwe bado na utakatifu, huu huu 🤣🤣🤣ikiwa kinyume chake sasa, watoto wa mama mkwe hawaaminiki ujueUtabiri: huu uzi utaishi miaka mingi sana humu JF
Niko na wewe sako kwa bako hadi mapenzi yakuue🤣🤣🤣🤣Mkuu naomba uniache please😁
Iko speed sana afu kumbe imeanzishwa leoMapenzi yanarun dunia.
Kwenye hilo sakata Simo, nipo neutral kama 7Wanaume wafupi wauawe🤣🤣🤣
Gifted dawa yake my wangu sweery hatomuwezaaAiii umenitoa jino, nakusema kwa Gifted girl
Ndio naona jamii forum wameipost instagram nilikua napitia comment at least kule watu wanatia moyo sio humu.Iko speed sana afu kumbe imeanzishwa leo
mshamba_hachekwi ana ban ya mika 10😂Hapo ndio umesemaje?? 🤣🤣
mshamba_hachekwi njoo mkalimani wangu unitafsirie si unajua niliishia la 2 B vidudu 😹
Mambo ya chuo hayajawahi kumuacha mtu salama!!Mwaka 2007 nikiwa narud zangu hom, yeye alipandia bus Arusha tukiwa tunarudi Mwanza na Akamba bus, tumesafiri usiku kucha, asubuh iliyofuata tumefika Magu akaniomba simu apige kwao waje kumpokea nikampa. Akaniomba namba yangu nikampa, tukawa tunawasiliana hatukuweza kuonana tena, nikarudi shule na yeye akarud shule mawasiliano yakaisha hadi alipomaliza form 4 akanitafuta tena mawasiliano yakarud. Penzi likanoga, kipindi nipo chuo yeye akawa form 5 Loreto, nilipomaliza Dip ikanibid nirud Mwanza nikaungane na wangu wa ubani. Mapenzi yale yalikuwa matamu sijawahi pata ya namna ile.
Penzi lilikuja ingia mdudu alipoingia chuo semister ya pili, ilikuwa ni tar 25. July 2012 ndio penzi letu lilikatizwa na yeye aliponiambia hanipendi tena yatupasa kuachana. Oyaa! Sikieni tu kuachwa na mtu ambae ushamtia nafsini, moyoni na akilini. Alijua kunitesa yule binti, nilimuomba msamaha kwa nisichokijua kwa miaka 2 ila alishikilia msimamo wake kuwa hana mapenzi na mimi yeye alishaga move on. Eeeh! Hapo sasa nilizibuka akili nikakung'uta vumbi nikasonga.
Baada ya lile tukio nimekuja kuwa mtu mmoja imara sana kihisia na kimahusiano na mwenye roho ya chuma cha pua kimahusiano. Strength always is found in difficult situations
Nipo nachat na bby wangu hapa ananiambia niwe na amani😁Niko na wewe sako kwa bako hadi mapenzi yakuue🤣🤣🤣🤣
Kama mpenzi wako yuko Dar, andika maumivu.Jiji la dar watu nafikir hawalali bila izo habari nilisafir Weeknd nitafute pa kulala aisee Kila sehemu pamejaa 😀😀😀
Kaachiwa haujui?mshamba_hachekwi ana ban ya mika 10😂
Weeeeh! Na alikolea kwa mshangazi🤣🤣Aisee Mungu azidi kukubariki mkuu. Mimi ninapenda sana na kufurahia shuhuda za namna hii
Bahati nzuri nimejipata leo mke wangu, nimepata 6M, chagua niktumie shingapi mke wanguNakupenda pia baby wangu nkwmbie kitu nmeishiwa pesa ya matumiz uliyoniachia
Weeeeeh!! 🤣🤣🤣🤣Mwanamke akipenda; anavumiliaaaaaaa
Chai hii 🍵 😂😂Bahati nzuri nimejipata leo mke wangu, nimepata 6M, chagua niktumie shingapi mke wangu
Ina maana mdogo wangu uliachika? The bold yuko wapi kwanza!Tunakaribia mwaka, nampenda sana.
Nina furaha na amani, kikubwa ni mawasiliano imara basi.
Mashangazi ya Mbeya wengi ni maskini, wakijitahid utakuta wanauza mchele mashineni na kuuza chapati na mihogo vyuoni, utakula hela yao ipi hapo?Mwanza mbali mkuu ngoja nivizie limoja hapa hapa mbeya