"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Habari wakuu,
Mpaka sasa nipo mbali na shemeji yenu ni mwaka sasa hatujaonana sababu ya issue za utafutaji japo mawasiliano yapo strong kiasi chake.

Ila mahusiano ya mbali ni Mungu tuu awe kati kutoboa ni kazi.
Mimi nilikaa miez 8 Kila mmoja akfuata ustaarabu wake
 
Back
Top Bottom