"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Nimecheka Sana, umenikumbusha, wakati naenda kutoa mahari,kipenzi mwingine akanikalibisha kwake, akijua nimekuja mkoani kwake kumuona, kumbe mie na pita njia, kwenda kuoa, akanipa mambo, nikapiga usiku kucha, asubuh, naenda kuoa, aliposhituka, alilia balaa, uzuri, akapata, mchumba pastor, akaenda zake ulaya,
The bitter truth, she was more beautiful than the one I married,
 
Kutamka uwiii haikujagi hivi hivi!! Yaani unachanganyikiwa kabisa.
Imagine ile msg ya "imethibitishwa"!!!

Yaani hata homa ya nyani inapona🤣🤣🤣
Najua nyie wawili swala la kupagawishwa ni kwenye pesa tu, huko kwingine tunawaachia wadada wa kipare na kinyaturu...🤣🤣🤣nyie uwiiii inakuja kwa sababu ya pesa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…